Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani akifumania anaumia zaidi?

mbona ww umetumia maandiko hayo hayo
Ndio nilitaka kukuonyesha msibebe mstari mmoja wa bible ka reference na kusahau mingine mingi pia. Sasa wasema uzinzi mwanamke anawezaje kujizini mwenyewe na kama sio msaada wa mwanaume?
 
Tujikite kwenye Torati. torati inasemaje juu ya uzinzi??
 
Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na haswa akiwa mzuri

Kwani sijawahi sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama
Kwa ninavyojua mimi ni kwamba wote huumia ila sasa tunatofautiana kwenye kulipokea lile kosa niatelezea kwa ufupi.

WANAWAKE.
Kwanza wao watachukulia kile kitendo kama cha udhalilishaji na ataona umemuaibisha kuchepuka yeye ataonekanaje mtaani wakisikia vile? Na kingine atakosa kujiamini maana hajui umechepuka kwa kukosa kipi, kingine labda atawazia magonjwa na pia gharama ulizotumia mngefanyia mambo mengi tu .

Kikubwa huwa wanawaza kwa wigo mpana sana na ndo kinachowaumiza kwamba umemuaibisha yeye.

WANAUME.
Njoo kwetu sasa kwanza tunalipokea kiutofauti sanaaa utawaza kwanza jamaaa alivyomkunja mke wako halafu alivyokuwa anampa utamu jinsi mtoto alivyokuwa anaulilia hata wewe hajawahi kukulilia hivyo, jinsi alivyokuwa anakata hatariii .

Hapo hapo unapata wivu mkubwa na kuanza kuwaza jamaa amekupita kipi? Je ? Ni mashine(wengi huanzia hapa) sasa unakuta unakuwa mdogoo, au ni pesa? Na je jamaa hajafika kwa mpalange kweli? 😂😂 saa ukiwaza yoote hayo yaaani kweli jamaa apate utamu niliokuwa napata mimi .??

Mbaya zaidi mkeo unakuta anamtetea jamaa au yupo kimya baada ya fumanizi matokeo yake ndo hayo sasa watu wanauwana .
 
Yote ni kweli ila "mwanaume lazma awaze vile mkewe alivyokunjwa kama samaki Kibua ", alafu "namna ananyonyeshwa ile kitu" na tena namna anatoa miguno ambayo mkiwa wawili jakupi.
 
Kwanini mwanaume anaumia zaidi?
(1)-- mwanamke akiwa kwenye mahusiano na mwanaume mwingine anakuwa sio msiri tena wa mambo yake ya nyumbani kwake..
Mambo kama,
  • mume wangu haniridhishi.
  • jamaa kibamia.
--jamaa hamjali.
-- jamaa ana papara kifuani.,Mara kashika hiki Mara kile kama Mangi wa dukani..yaani hashiki kimoja akamaliza.

Hayo yote mwanamke atayaeleza kwa mchepuko mpya.

(2)- mwanamke yeye ndy hufanywa lile tendo la sex.,
Atabinuliwa hivi,,atageuzwa vile.
Mara mwanamke kapindwa kawa mdogo kama helmet la bodaboda..
hapo jamaa mchepuko anakuwa na nafasi kubwa ya kuutumia na kuukaguwa mwili wa mwanamke atakavyo,.
Kinachouma zaidi pia ni jamaa mchepuko kupewa vile vitu vitamu vya uvunguni ambavyo hata mwanaume wake hampi..

Kwa kifupi mwanaume anaumia zaidi akifikiria vile jamaa alivyomfanya vibaya mwanamke wake..
 
Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na haswa akiwa mzuri

Kwani sijawahi sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama
Kuumia au kutoumia inategemea ni nani kati ya me au ke ata-move on haraka zaidi. Mfano kama ww ni mwanaume na umeachana na mwanamke na yeye anapata mpenzi mzuri wanapendana sana kabla hata ya ww haujampata basi mwanaume ataumia zaidi. Vilevile kama mwanaume anapata mwanamke mrembo zaidi na anayejali zaidi ya ex na mapenzi yanakuwa moto moto, basi mwanamke ataumia zaidi.

Kwa ufupi, wanawake hasa warembo wanapata mtu mapema zaidi ya wanaume. Kwa hio huwa maumivu yao yanaisha mapema kuliko ya mwanaume.
 
Yote ni kweli ila "mwanaume lazma awaze vile mkewe alivyokunjwa kama samaki Kibua ", alafu "namna ananyonyeshwa ile kitu" na tena namna anatoa miguno ambayo mkiwa wawili jakupi.
Hapo tu ndo huwa tunapaniki unahidi kabisa kifua kinataka kupasuka yani kwa hasira.
 
Back
Top Bottom