yuda75
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 520
- 1,412
- Thread starter
- #21
apo unawaza uuwe au uzike mzimaMimi baada ya kumfumania girl wangu akiwa juu ya dushe lingine anakata mauno!
View attachment 1641530
apo unawaza uuwe au uzike mzimaMimi baada ya kumfumania girl wangu akiwa juu ya dushe lingine anakata mauno!
View attachment 1641530
🤣🤣🤣apo unawaza uuwe au uzike mzima
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaume wanaumia sana kwa kweli ...
View attachment 1641553
Nimesha editMada inasema fumanizi sio kuachwa
[emoji12][emoji16][emoji16]Kwani amelazimishwa kula !?Wanaume wanaumia sana kwa kweli ...
View attachment 1641553
Huyo Ni wewe kabisa ... [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa jinga sana hilo..🤣🤣🤣🤣Huyo Ni wewe kabisa ... [emoji16]
Unamaanisha mashoga au?Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na aswa akiwa mzuri
Kwani sijawai sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama
Niliiona WhatsApp mamaee nilicheka sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamaa jinga sana hilo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah true[emoji3514]Mwanaume anaumia zaidi ....
Binafsi siumii kisalitiwa sana kama navyoumia gharama nilizotumia kwa huyo mwanamke....
Na wanaume wengi wanafikia hadi kuua sio sababu ya mapenzi bali gharama...
Wanaume tuna attitude ya ku invest kwa mwanamke tukiwa na akili kwamba nampa kila kitu ili anipende mimi tu asiende kwa mwingine sasa hiyo attitude pekee ndo chanzo cha gunia mbili za mkaa
Otherwise kwa mtu km mimi naona ni fursa yakupata mwanamke mwingine bora zaidi..
Wanaume ni wamiliki kwa asili ndo mana inauma zaidi kuliko mwanamke yaani sisi tunaonaga mwanamke ni km mali yetu na shida inaanzia hapa hatujui kupenda tunajua kumiliki,no wonder bible imesema mwanaume mpende mkeo.
Kuna mmoja kanitumia invoice ya uwekezaji [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Nikasema huyu ananitega nifanye uwekezaji mkubwa halafu anitose then nijinyonge. Ngastuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume kinacho waumiza zaidi Ni issue za ki_finance cuz kuna wengine Huwa Wana wahonga wanawake thamani za kila Aina wakidhani kuwa itasaidia kuwafanya wabaki katika maisha yao ....
So inapotokea mwanaume ambaye Ni nguli wa kuhonga akamfumania GF/Mke wake huwa anaumia mara mbili cuz huanza kufikiria gharama zake alizo mgharamikia mwanamke pia hufikiria pia na hisia zake za upendo jinsi zilivyokosa kuthaminiwa
Mzee ukala Kona [emoji16][emoji16]Kuna mmoja kanitumia invoice ya uwekezaji [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Nikasema huyu ananitega nifanye uwekezaji mkubwa halafu anitose then nijinyonge. Ngastuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujinga nataka kwani [emoji3][emoji3][emoji3]Mzee ukala Kona [emoji16][emoji16]
Safi sana
[emoji16]ujinga hauutaki kweli mzee babaUjinga nataka kwani [emoji3][emoji3][emoji3]
Wote huumia, Ila vile huku mifumo kandamizi inaona mwanaume kutokuwa mwaminifu ni sawa Ila kwa mwanamke si sawa. Cheats na kufumaniwa kwa jinsia zote ni mbaya sana
mwanamke aisee, yaani akiwazia utamu wake amepewa mtu mwengineHebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na aswa akiwa mzuri
Kwani sijawai sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama