Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani akifumania anaumia zaidi?

Mwanaume anaumia zaidi ....

Binafsi siumii kisalitiwa sana kama navyoumia gharama nilizotumia kwa huyo mwanamke....

Na wanaume wengi wanafikia hadi kuua sio sababu ya mapenzi bali gharama...

Wanaume tuna attitude ya ku invest kwa mwanamke tukiwa na akili kwamba nampa kila kitu ili anipende mimi tu asiende kwa mwingine sasa hiyo attitude pekee ndo chanzo cha gunia mbili za mkaa


Otherwise kwa mtu km mimi naona ni fursa yakupata mwanamke mwingine bora zaidi..

Wanaume ni wamiliki kwa asili ndo mana inauma zaidi kuliko mwanamke yaani sisi tunaonaga mwanamke ni km mali yetu na shida inaanzia hapa hatujui kupenda tunajua kumiliki,no wonder bible imesema mwanaume mpende mkeo.
 
Unamaanisha mashoga au?
Maana hiyo title sijaielewa
 
Jamaa jinga sana hilo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliiona WhatsApp mamaee nilicheka sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yeah true[emoji3514]
 
Kuna mmoja kanitumia invoice ya uwekezaji [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Nikasema huyu ananitega nifanye uwekezaji mkubwa halafu anitose then nijinyonge. Ngastuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mmoja kanitumia invoice ya uwekezaji [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Nikasema huyu ananitega nifanye uwekezaji mkubwa halafu anitose then nijinyonge. Ngastuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee ukala Kona [emoji16][emoji16]

Safi sana
 
Heading ikoje ? Ifanyiwe marekebisho.
 
Rekebisha heading kwanza halafu urudi tena
 
Mwanaume anaumia zaidi akifikiria matumizi anayoacha harafu kenge mmoja ale bure
 
Wote huumia, Ila vile huku mifumo kandamizi inaona mwanaume kutokuwa mwaminifu ni sawa Ila kwa mwanamke si sawa. Cheats na kufumaniwa kwa jinsia zote ni mbaya sana

Biblia inasemaje juu ya mwanamke mzinzi
 
mwanamke aisee, yaani akiwazia utamu wake amepewa mtu mwengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…