Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Wote huumia, Ila vile huku mifumo kandamizi inaona mwanaume kutokuwa mwaminifu ni sawa Ila kwa mwanamke si sawa. Cheats na kufumaniwa kwa jinsia zote ni mbaya sana
Ndio nilitaka kukuonyesha msibebe mstari mmoja wa bible ka reference na kusahau mingine mingi pia. Sasa wasema uzinzi mwanamke anawezaje kujizini mwenyewe na kama sio msaada wa mwanaume?mbona ww umetumia maandiko hayo hayo
Ndio nilitaka kukuonyesha msibebe mstari mmoja wa bible ka reference na kusahau mingine mingi pia. Sasa wasema uzinzi mwanamke anawezaje kujizini mwenyewe na kama sio msaada wa mwanaume?
Kwa ninavyojua mimi ni kwamba wote huumia ila sasa tunatofautiana kwenye kulipokea lile kosa niatelezea kwa ufupi.Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na haswa akiwa mzuri
Kwani sijawahi sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama
Yote ni kweli ila "mwanaume lazma awaze vile mkewe alivyokunjwa kama samaki Kibua ", alafu "namna ananyonyeshwa ile kitu" na tena namna anatoa miguno ambayo mkiwa wawili jakupi.Kwa ninavyojua mimi ni kwamba wote huumia ila sasa tunatofautiana kwenye kulipokea lile kosa niatelezea kwa ufupi.
WANAWAKE.
Kwanza wao watachukulia kile kitendo kama cha udhalilishaji na ataona umemuaibisha kuchepuka yeye ataonekanaje mtaani wakisikia vile? Na kingine atakosa kujiamini maana hajui umechepuka kwa kukosa kipi, kingine labda atawazia magonjwa na pia gharama ulizotumia mngefanyia mambo mengi tu .
Kikubwa huwa wanawaza kwa wigo mpana sana na ndo kinachowaumiza kwamba umemuaibisha yeye.
WANAUME.
Njoo kwetu sasa kwanza tunalipokea kiutofauti sanaaa utawaza kwanza jamaaa alivyomkunja mke wako halafu alivyokuwa anampa utamu jinsi mtoto alivyokuwa anaulilia hata wewe hajawahi kukulilia hivyo, jinsi alivyokuwa anakata hatariii .
Hapo hapo unapata wivu mkubwa na kuanza kuwaza jamaa amekupita kipi? Je ? Ni mashine(wengi huanzia hapa) sasa unakuta unakuwa mdogoo, au ni pesa? Na je jamaa hajafika kwa mpalange kweli? ππ saa ukiwaza yoote hayo yaaani kweli jamaa apate utamu niliokuwa napata mimi .??
Mbaya zaidi mkeo unakuta anamtetea jamaa au yupo kimya baada ya fumanizi matokeo yake ndo hayo sasa watu wanauwana .
Kuumia au kutoumia inategemea ni nani kati ya me au ke ata-move on haraka zaidi. Mfano kama ww ni mwanaume na umeachana na mwanamke na yeye anapata mpenzi mzuri wanapendana sana kabla hata ya ww haujampata basi mwanaume ataumia zaidi. Vilevile kama mwanaume anapata mwanamke mrembo zaidi na anayejali zaidi ya ex na mapenzi yanakuwa moto moto, basi mwanamke ataumia zaidi.Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na haswa akiwa mzuri
Kwani sijawahi sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama
Hapo tu ndo huwa tunapaniki unahidi kabisa kifua kinataka kupasuka yani kwa hasira.Yote ni kweli ila "mwanaume lazma awaze vile mkewe alivyokunjwa kama samaki Kibua ", alafu "namna ananyonyeshwa ile kitu" na tena namna anatoa miguno ambayo mkiwa wawili jakupi.