Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vipi,
Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu, sura, umbile, rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na nyakati (enzi na enzi).
Sasa kwa tafsiri rahisi niliyotoa hapo juu. Je, kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye kizazi au uzao hapa Duniani? Kwasababu nimemsikia mwanamke mmoja anasema uzao wangu nikashangaa juu ya kauli yake.