Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
NakaziaMwanamke = KIZAZi.
Mwanaume = UZAO.
japo vinafanana sana.
Mtoto ni WA Mwanamke UZAO WA Mwanaume
Chagua jinsia mojaMwanaume na mwanamke
MwanaumeChagua jinsia moja
Nakazia
Ni kweli mtoto ni wa mamaMwanamke = KIZAZi.
Mwanaume = UZAO.
japo vinafanana sana.
Mtoto ni WA Mwanamke UZAO WA Mwanaume
MwanaumeHapo vip!!
Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu,sura,umbile,rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na nyakati(enzi na enzi)...
Mwanaume bloodline, Mwananke flesh .Uzao anao mwanaume, uzazi ni kwa mwanamke.
Determinant ya azaliwe wa jinsia ipi ipo kwa mwanaume, sio mwanamke. Hivyo uzao ni wa mwanaume, tumbo la mwanamke ni mfuko wa kubeba uzao wa mwanaume.
Nadhani nimejibuš
Hivi vichwa ni mzigo kwa shingo.Mwanamke = KIZAZi.
Mwanaume = UZAO.
japo vinafanana sana.
Mtoto ni WA Mwanamke UZAO WA Mwanaume
At least umenyoosha moja kwa mojaUzao anao mwanaume, uzazi ni kwa mwanamke.
Determinant ya azaliwe wa jinsia ipi ipo kwa mwanaume, sio mwanamke. Hivyo uzao ni wa mwanaume, tumbo la mwanamke ni mfuko wa kubeba uzao wa mwanaume.
Nadhani nimejibuš