Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake


Na Kwann usimtext morning dear . How are? Am very busy with work today I will call you when am free?
 
Inategemea nani ni boss wa hayo mahusiano?

Inategemea nani anaControl sex.!

Mtazamo wangu ni Mwanamke ndiye anayetakiwa kuanzisha mawasiliano hayo yakudumisha mahusiano.

Kabla sijakupa sababu
Jiulize nin wajibu wa mwanamke kwenye mahusiano?

Ngoja nikupe uhalisia wa mambo.

Women love competition and chalenges
Texting and calling first is for women.
It is feminine

Kwakuwa ananiview like a price, she views me like a man who worth her attention. Hawez kucomplain wala kujali kama simtafuti tena hapo respect inakuwa kubwa.

"Bishana na laws of attraction"

Nakupa sababu
Masculine man responsibilities in a relationship is not to text first for the sake of keeping a woman enganged in a relationship.


Hoja yako hapo inajibiwa na swali hili kwa ufupi.

"who is a man in that relationship?"
 
Kwa watu wanaopendana sidhani kama ishu ya mawasiliano kwao ni changamoto, na mara nyingi hii huwa kwenye penzi jipya kadri muda unavyozidi sogea na mawasiliano yanazidi kupungua kwa ambao hawajapatana kivile.
Mm nna kiberenge changu yan ndio kwanza tumeanza relationship ,mzee haknitafut kbs yan kla sku n mm daah sjui inakuaje hii na huwa sina tabia yakutafuta watu ovyo ila hpa sjui kwkwel na sina nomah ht asponichek aseeh na mm wala sichoki kumchek.

Sjui kama ntakuja kukachoka kbs.
 
Wanataka wakwao peke Yao ukimpelekea moto dayle utaanza kusikia nimechoka kila siku ww unataka sasa utaacha kumsaliti mtu wa hiviπŸ˜‚
 
Mzee bab mm ishakuwa kama ratba lazma mm ndio nmchek everyday kwkwel I don even know what's wrong with her ,she does not even feel my lov on her ,I wonder she has got another dude over there ajabu ananpa antention san while am with her, that real confuse me.

Haya Mapenz yaachen tu jmn unaweza kufanywa mnyonge ww tu yan aah
NB:Mm n mvivu san kutafut watu ila hapaπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Naona wajiamdalia kaburi lako mwenyewe
 
CπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€³
 
Hakupendi anataka kukunyonya damu
 
Ukiona kila wakati ni ww tu unayemtafuta mwenzio na yy amekauka tu anakusubiri, ujue hupendwi. Mapenzi ya dhati lazima yaonekane kutoka pande zote 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…