Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Wewe si ni dada yangu tunafanana baadhi ya tabia [emoji4]
Unajua nini dada, mimi huwa nnajali sana hasa nikipenda kweli kuna kipindi niliona kama nakosea lakini dada yangu akaniambia upo sahihi mdogo wangu.
Tunaopenda sana tupo wengi,sema tatizo tunawapenda wasiotupenda,yani unantumia muda mwingi kumuonyesha mtu upendo lkn ndo kwanza hata haelewi
 
Back
Top Bottom