kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Huwa napata ugumu kidogo nikiwa namsikiliza Mmarekani ila namuelewa kwa urahisi zaidi mwingereza.
Wataalam wa kingereza karibuni.
Wataalam wa kingereza karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana accent mbovu sana hao jamaaWamerakani wanaongea broken English. Kiingereza ni cha muingereza
Muingereza halisi akiongea mzaramo huotei hata moja... lafudhi moja ya ajabu sanaWamerakani wanaongea broken English. Kiingereza ni cha muingereza
Umeshawahi kuwasikia watu kutoka Liverpool wanavyoongea?Wamerakani wanaongea broken English. Kiingereza ni cha muingereza
Hakuna British accent moja.We mtoa mada hujui ngeli ya mwingereza akiongea huwezi sikia neno hata moja British accent sio mchezo kiujumla American English ni maarufu na imesambaa sana kupitia miziki films zote hizo ni American English
Kwa hapa Afrika napenda mno kiingereza cha waganda na wazambia.Sikiliza interview za sky sport za wachezaji wa kiingereza wa EPL ndio utajua haujui.
Halafu msikilize Mzee Biden pamoja na Trump tower utapata jibu kama kiingereza cha wasomi wa Tz ni rahisi kukielewa sababu wasomi wanazungumza kwa kutumia kigugumizi ili wasidhalilike.
Kimenyooka.Kwa hapa Afrika napenda mno kiingereza cha waganda na wazambia.
ngeli ya mwingereza haijawahi kunipa tabu kuielewaWe mtoa mada hujui ngeli ya mwingereza akiongea huwezi sikia neno hata moja British accent sio mchezo kiujumla American English ni maarufu na imesambaa sana kupitia miziki films zote hizo ni American English
😁 Nigerian englishMimi nadhani wazungu ndo wanatakiwa wanielewe mimi... haijalishi mmarekani au mwingereza.
Hivi ni kipi kilichosababisha wamarekani weusi wakawa na matamshi tofauti na wamarekani wa kizungu?Hakuna British accent moja.
Hakuna American accent moja!
Watu wa Boston wanasikika tofauti kabisa na watu wa Louisiana!
Wa Minnesota wanasikika tofauti kabisa na watu wa New Jersey.
Baltimore na Philadelphia hawafanani kivile.
Hilo ni kweli, lakini si ukweli wote.Hivi ni kipi kilichosababisha wamarekani weusi wakawa na matamshi tofauti na wamarekani wa kizungu?