Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Mmarekani au Muingereza wa wapi?
Sehemu tofauti za Marekqni na Uingereza zina watu wenye lahaja na lafudhi tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmarekani au Muingereza wa wapi?
Sehemu tofauti za Marekqni na Uingereza zina watu wenye lahaja na lafudhi tofauti.
Uingereza kuelewa changamoto wanaongea kile cha ndani kabisa ni kama ukutane na Kiswahili cha Bwana JORAMHuwa napata ugumu kidogo nikiwa namsikiliza Mmarekani ila namuelewa kwa urahisi zaidi mwingereza.
Wataalam wa kingereza karibuni.
Naelewa wote ila kuna baadhi ya British accents/dialects huwa zinanipa tabu muda mwengine kuelewa mfano cockney huwa wana silent "T" sasa jua kwamba maneno yoote yenye "T " wao wanameza mfano Maji kwa kiingereza "Water" inatamkwa "Wota" wao wanatamka "wo a" hapo bado zile intonations kuna pia scottish accent .Huwa napata ugumu kidogo nikiwa namsikiliza Mmarekani ila namuelewa kwa urahisi zaidi mwingereza.
Wataalam wa kingereza karibuni.
Umeshakutana na wale wa kutoka Scotland au Ireland? Nilikutana na mmoja nilichoka. Neno moja lenye herufi 4 au zaidi herufi unaweza kuzisikia zikitamkwa zinaweza kuwa 2 tungeli ya mwingereza haijawahi kunipa tabu kuielewa
nilifanya field na waingereza tukawa tunaelewana bila shida yoyote
ila shida hua inakuja nikiwa nawasikiliza wamarekani
Huwa inachukua muda kidogo kuelewa walichokiongea haijalishi ni face 2 face conversion au kinyume
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Sikiliza interview za sky sport za wachezaji wa kiingereza wa EPL ndio utajua haujui.
Halafu msikilize Mzee Biden pamoja na Trump tower utapata jibu kama kiingereza cha wasomi wa Tz ni rahisi kukielewa sababu wasomi wanazungumza kwa kutumia kigugumizi ili wasidhalilike.
Asante kwa elimuHilo ni kweli, lakini si ukweli wote.
Hata weusi kwa weusi [Foundational Black Americans] wana lafudhi tofauti tofauti kulingana na eneo watokalo.
Kwa mfano, weusi [Foundational Black Americans] wa Texas wana lafudhi tofauti kabisa na weusi wa Georgia.
Weusi wa Maryland wana lafudhi tofauti kabisa na weusi wa Mississippi.
Weusi wa Virginia wana lafudhi tofauti kabisa na weusi wa Alabama.
Malcolm X na Martin Luther King walikuwa na lafudhi tofauti.
Malcom X alizaliwa Omaha, Nebraska na akakulia Milwaukee, Wisconsin, Lansing, Michigan, na Boston, Massachusetts.
Martin Luther King Jr., alizaliwa na kukulia Atlanta, Georgia.
Hawa wawili ukizisikiliza hotuba zao utagundua walikuwa na lafudhi tofauti.
Pia, hata wazungu kwa wazungu nao wana lafudhi tofauti.
Wazungu wa Arkansas na Kentucky wana lafudhi tofauti na wazungu wa South na North Dakota.
Wazungu wa Kansas wana lafudhi tofauti na wazungu wa Alaska.
Sababu hasa ya tofauti hizo siijui au sizijui. Ila ninachojua elimu nayo huwa na mchango mkubwa sana.
Mambo mengine ambayo huchangia utofauti huo ni maeneo ya kijiografia na labda exposure na contact na watu wa sehemu zingine.
Kwa mtu ambaye hujaishi na Wamarekani kwa muda mrefu, baadhi ya tofauti hizo za kilafudhi ni ngumu kuzibaini.
Ni kama vile ambavyo wao wakija huku kwetu, itawawia vigumu kuzibaini lafudhi za wazungumzaji wa Kiswahili ambao ni Wasukuma, Wachaga, au Wahehe.
Ila mimi na wewe haitotuwia vigumu kumbaini Ngosha ni yupi na Mangi ni yupi.
Na hata kwa Wasukuma, sisi kwa sisi kupitia lafudhi huwa tunagunduana kirahisi yupi ni Mnyantuzu, yupi ni wa Shinyanga, na yupi ni wa Mwanza.
Ila Mnyakyusa ambaye hajaishi na Wasukuma, kwake atasikia lafudhi tu ya Kisukuma.
unatumia mbinu zipi?
Kiswahili cha Mkenya na Mtanzania huwa unawahi kukielewa kipi?Au kiingereza cha Mganda na Mnaigeria huwa unakielewa kipi zaidi?
Hata accent ya watu wa Liverpool nayo ni shida!Bora marekani, ukisikoa Waingereza wanaongea huelewi maana wana aacent tofauti tofauti ukisikia ya watu wa birmingham ndio utachoka
Wa Scottish ndiyo hawaeleweki kabisaa!Scotland aka Scottish, Australians
Kiingereza ni lugha ya kuungaunga sana.
Lugha gani ambayo watu kutoka maeneo tofauti wanaongea tofauti na unaweza usielewe.
Sasa kuna wahindi, wanijeria, wajamaica nao wamekuja na kiingereza chao basi kazi kwelikweli.
Ngoja nasisi wa mtoni mtongani tuanze kuongea English yetu mixer kimakonde, kimakua, kizaramo, unaweka na kisukuma inakuwa getegete kabisa.
Mimi na check na subtitles Mzee but hii mov unyama Sana aiseeNikiangalia movie kama BMF ya maisha ya Big Meech bila subtitles natoka kapa.
Kiengera ni cha waengereza BBC unaelewa zaid kuliko CNN au fox anaebisha hajui hata kiengereza ni nnWe mtoa mada hujui ngeli ya mwingereza akiongea huwezi sikia neno hata moja British accent sio mchezo kiujumla American English ni maarufu na imesambaa sana kupitia miziki films zote hizo ni American English
😂 wanatamka maneno kama yalivyo, hawataki shida. Na wanatumia nguvu kubwa kama ugomvi vileMovies na music vimefanya iwe rahisi kuwaelewa Wamarekani kuliko Waingereza. Ila Wanaigeria watolewe kwenye nchi zinazozungumza kiingereza.
Halafu hawalazimishi kusound kama wazungu... wanakiongea kwa lafudhi yao.Kwa hapa Afrika napenda mno kiingereza cha waganda na wazambia.