Kati ya Nafasi (Space) na Muda (Time) ni kipi kinatangulia?

Kati ya Nafasi (Space) na Muda (Time) ni kipi kinatangulia?

Mejasoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
298
Reaction score
600
Je ni Muda ndio huleta nafasi au nafasi ndio huleta muda
Mwanzo 1:1
[1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

Wataalamu wa haya mambo naomba mtupe maarifa kwenye huu mjadala.
 
Back
Top Bottom