kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hatari sana watu wawili yanabaki kuwa makubaliano ya pande mbili tuheshimu maamuzi yao walipopatana hatukuuliza nani alianza kumtupia ndoano mwingine wapenda ubuyu hakosi maswali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeongea kwa sauti ya mr miongozo😁🤣🤣🤣🤣🙌
Wameachana kwa amaniKwenu;
Mapenzi ni ishu mtambuka, siku roho inapoumizwa ndo utajua dunia ilivyo.
Siku hiyo utaona kila kitu kinakuelemea, dunia yote ni chungu, ni kama umefiwa vile, ni upweke ulioje.
Maono yangu, kama ni mwanamke ameachwa ni hasara kubwa sana, tufanye mfano ametumika tokea akiwa binti mbichi, yawezekana hata bikra ametolewa na hiyo njemba, halafu inamuacha ghafla tu, itamuumiza sana.
Njemba imekutoa bikra, imetanua papuchi, una miaka zaidi ya 30, kumpata mtu sahihi ni ngumu, mwanamme gani atakubali kuchukua kitu iliyozeeshwa.
Ila mwanamme yeye ni ngoma mdundo, hata awe na miaka 40 bado atampata tu binti mbichi, na tena bikra.
Halafu hii kitu ya kuishi na kutaka kuoana dini mbili tofauti ni mbaya mno, mwanamke au mwanamme umekosa mtu sahihi kwenye dini yako?, tuzipende dini zetu. Tusiuze dini zetu kwa kigezo cha mali.
Tafakuri.
Naona umeamka! Ulivokua umelala alireply Kwa simu Yako bn🤣🤣Nimeongea kwa sauti ya mr miongozo😁
😁😁!Naona umeamka! Ulivokua umelala alireply Kwa simu Yako bn🤣🤣
Joined 2010-2020 mlikuwa vzr kwenye hayo maniaje niaje😁😁!
Mambo yao tuwaachie wenyewe Nifa na aliekuwa mtuwe wao ndio wanaujua ukweli!
Maisha lazima yaendelee
Hahahahaha, mkuu inatosha , umefika mbali sana aisee,dahThe bold hana hela....Nifah kaona ajiongeze mapema. wanawake wa jf wote ni wasimbe kasoro Faizafoxy na Dada Heaven sent.
Wengine wote wadangaji tuu.
Joined 2010-2020 mlikuwa vzr kwenye hayo maniaje niaje
Saiv ni zamu ya joined 2020-2030 kuwe na couple mingi mingi ili kuchangamke patembezwe tags, mentions na quotes za kutosha kwenye majukwaaa
KabisaaaaUzi wako umekaa Kitoto sana...Heading na Content haviendani....
Kingine mambo ya watu yaache kama yalivyo... Wameachana/ameacha/ameachwa hayakuhusu....
Mdangaji mwenyeweThe bold hana hela....Nifah kaona ajiongeze mapema. wanawake wa jf wote ni wasimbe kasoro Faizafoxy na Dada Heaven sent.
Wengine wote wadangaji tuu.