Kati ya Nifah na The Bold, yupi aliyemuacha mwenzake?

Kati ya Nifah na The Bold, yupi aliyemuacha mwenzake?

Nimeamua kumsemea bwana Habib coz kiuhalisia resources zake zilitumika zaidi, sasa asipoinjoi si shida tena[emoji28]
Kwani za nifah hazikutumika jamani.....hapa twende haki sawa
 
Aki bisha mtumie gun man adriz ampige chuma😀
Nipo live nishavaa mavazi ya kazi nasubiri order Tu ,sina huruma zaidi ya kutembea chuma tu..
images (67).jpeg
 
Tofauti ya muafrika na asiye muafrika ni kwenye ufuatiliaji wa mambo interreligion marriages zimekuwa nyingi kwa sababu watu hawasomi dini zao unakalia kukomaa na elimu ya mzungu huku unaiacha elimu ya dini yako nyuma ndiyo mambo kama haya yanakuja kutokea.

Kama ulivyoandika kwamba kuna dini hairuhusu kusherehekea sikukuu za wengine dini hiyo ni UISLAMU wala hilo halina shaka ,ila ingekuwa umefuatilia angalau ni kwa sababu gani hawasherehekei sikukuu lakini mambo mengine wanasaidiana ungepata jibu na usingekuja kuandika hapa anyway nikusaidie kukujibia.

Ni hivi imani ya uislamu imeegemea kwenye kumuamini ,kumtegemea na kumuabudu Allah (the almighy) ambaye hakuzaa , hakuzaliwa wala hana mshirika (ushahidi ni kwenye sura ya 112 kwenye quran au surat ikhlas ) . Ukiamini nje ya hapo kwa kujua kabisa inakuwa umefanya shirki na umetoka moja kwa moja nje ya uislamu na ni dhambi kubwa inayoongoza kati ya madhambi makubwa.

Sasa imani ya kikristo imebase kwenye kumuamini yesu kama ni Mwana wa Mungu au Mungu na christmas (25th december) kama mnavyoamini (though yesu hakuzaliwa 25th ,dec bali siku hii imetokana na sherehe ya kipagani sartunalia ambayo warumi wapagani walikuwa wnasherehekea kuzaliwa Mungu sartun au cronus kwa wagiriki. ambapo mnamo 25 dec ,336 pope julius wa kwanza aliadhimisha rasmi iwe siku ya kuzaliwa yesu effectively incoporating pagan holiday in christianity).

Sasa kama christmas ni siku mnayoamini kuzaliwa Mungu na huyu muislamu haamini kama Mungu anazaliwa je? Atawezaje kuvunja imani yake na kuwa amefanya dhambi kubwa itakayomuondoa kwenye uislamu ili tu awafurahishe wakristo ????? Not a logical move .

Allah (the almighty) inatuambiaje kuhusu ili ndani ya quran? Jibu ni kwenye surat baqara (sura 2:120)

Al-Baqarah 2:120

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ ٱلْيَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْۗ قُلْ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلْهُدَىٰۗ وَلَئِنِ ٱتَّبَعْتَ أَهْوَآءَهُم بَعْدَ ٱلَّذِى جَآءَكَ مِنَ ٱلْعِلْمِۙ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِىٍّ وَلَا نَصِيرٍ

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.


Watu tusome dini zetu ILI TUFUNGUKE KIFIKRA TUSIJE PELEKESHWA PELEKESHWA .
Mimi sihitaji kujua ni dini gani wala haya maelezo sitaki. Wala sikutaja dini ya MTU.
 
Nakutumia Jang hyuk Mvaa Kobazi aku nyooshe😀🤣
Mbele ya Gun hao hawasemi kitu wala hawatoboi kauli yangu Moja tu "Once you aim your gun , you shouldn't hesitate even for a second ,the moment your target will have disappeared " kabla ya kuwaita waonye kabisa Gun man from Joseon sina mzaha mtu akijaa kwenye 6× 3 zangu..
IMG_20240103_134105.jpg
 
Mbele ya Gun hao hawasemi kitu wala hawatoboi kauli yangu Moja tu "Once you aim your gun , you shouldn't hesitate even for a second ,the moment your target will have disappeared " kabla ya kuwaita waonye kabisa Gun man from Joseon sina mzaha mtu akijaa kwenye 6× 3 zangu..
Tuna kuletea washika mapanga was kwenye six flying dragons😀🤣.
👉Lazima uliwe bichwa 🤣😀🤒
 
Tuna kuletea washika mapanga was kwenye six flying dragons😀🤣.
👉Lazima uliwe bichwa 🤣😀🤒
Hapo nakubali wakupiga kolabo Muhuyul , Lee bange Je na yule dada Chok Ga San(kama sikosei) hapo nitapigika kirahisi..

Ila nikimcheki Maghayo akinipa vipisi vyake vya akiba mzuka unapanda nakuwa katika hii mood ni vyuma Tu kwenda mbele mpaka wote nawamaliza..
IMG_20240103_134105.jpg
 
Mkuu heri ya mwaka mpya.


Pamoja na faida nyingi za dini,

Ila imeleta utengano katika jamii. Imagine umempenda mnapendana Kwa Moyo wote halafu dini inawatenganisha inawafanya hamuwezi kuishi pamoja, mnaachana mnaenda Kwa mnaofanana dini kisha hampendani kilasiku ugonmvi hamna Amani Ila mna dini moja iliyowaunganisha... Nini SASA hiki??

Kuna dini inakataza kujumuika katika sikukuu za wengine haziruhusu Kula wala kusheherekea nao pamoja wala kuwaunga mkono... Yaani wakwako ni wale wadini yako tuu... Kweli hawa watu wa middle East walikujua kutuweza Sisi waafrica.



Anyway, Mungu atufungulie uelewa zaidi 2024.
Kama hatutoishi kwa minajili ya dini, basi tutakuwa ni watu wenye hasara kubwa sana kesho mbele za mungu, kwamba tunafanya vile nafsi inavyokuongoza. Mkuu usifanye ivo.
 
Katika kuachana kuna moja kati ya haya matatu.
1. Bibie papuchi inanuka
2. Bibie k kubwa kama wanawake wa jf
3. Mzee bolo legelege kama fagio used au kibamia.
 
Back
Top Bottom