Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Kuna dini inakataza kujumuika katika sikukuu za wengine haziruhusu Kula wala kusheherekea nao pamoja wala kuwaunga mkono... Yaani wakwako ni wale wadini yako tuu... Kweli hawa watu wa middle East walikujua kutuweza Sisi waafrica.
Kwamba watu wa Middle East walikujua kutuweza sisi waafrika!! Unaelewa unachokiongea lakini!
Uislamu una sheria zake bwana, na sio kujifanyia utakavyo wewe ukaona upo sawa, Muislamu kama Muislamu ni haram kuolewa na mtu asie wa imani yako, au kuowa mtu asie wa imani yako, ila kwa sharti moja, naomba uisikilize hii clip mpaka mwisho👇
View: https://youtu.be/L5yuw64T6Ys?si=rbYzcNGCEl1C6hUv