Kati ya Nifah na The Bold, yupi aliyemuacha mwenzake?

Kuna dini inakataza kujumuika katika sikukuu za wengine haziruhusu Kula wala kusheherekea nao pamoja wala kuwaunga mkono... Yaani wakwako ni wale wadini yako tuu... Kweli hawa watu wa middle East walikujua kutuweza Sisi waafrica.

Kwamba watu wa Middle East walikujua kutuweza sisi waafrika!! Unaelewa unachokiongea lakini!

Uislamu una sheria zake bwana, na sio kujifanyia utakavyo wewe ukaona upo sawa, Muislamu kama Muislamu ni haram kuolewa na mtu asie wa imani yako, au kuowa mtu asie wa imani yako, ila kwa sharti moja, naomba uisikilize hii clip mpaka mwisho👇


View: https://youtu.be/L5yuw64T6Ys?si=rbYzcNGCEl1C6hUv
 

MaashaAllah MashaAllah sheikh, baarakallahu fiik!
 
Hizi Dini unazosemea ni Hizi hizi tulizoletewa na wazungu?? Au Kuna zingine??

Wachana na Maswala ya Dini, Turudi enzi zetu za Matambiko na dini za asili.
 
Kiafrika na kiutamaduni, resources nyingi zilizotumika naamini ni za bwana mdogo, outings, misosi, zawadi kubwa kubwa...au nadanganya queen?
Mnataka tu kutukandamiza[emoji1787]
 
Mabikra wenyewe wapo basi?!

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Ndio akina nani hao.
Wasanii wapya wa wcb, konde gang au niaje?
 
Ukweli uanujua, jamaa kama alifaidi inatosha.[emoji28] Sio kila mahusiano yanaishia kwenye ndoa
Sawa ila miaka 7 mingi aisee, personally enzi hizo miezi 6 nikiona hamna linaloendelea napiga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…