Kati ya Nifah na The Bold, yupi aliyemuacha mwenzake?


Hiyo ni miaka yao au umekadilia?
 
Hizi Dini unazosemea ni Hizi hizi tulizoletewa na wazungu?? Au Kuna zingine??

Wachana na Maswala ya Dini, Turudi enzi zetu za Matambiko na dini za asili.
Hakuna dini imeletwa na mzungu, huko unakopasemea utapotoka mzee, dini ameleta mungu.
 
Kwa hiyo wadada wa kiislam tusiwaweke mkuu? Hem acheni kutunyima fursa, wao wakitaka tuwanyime?
Dini zote hizi islam, christianity na judaism zimekataza zinaa kiujumla na si kwamba mtu akiwa muislam ndiyo hatendi dhambi ndiyo maana mlango wa toba ukawepo SHIDA NI KUIHALALISHA HIYO DHAMBI yaani imefikia hatua watu wanachukulia zinaa kama kunywa maji tu.

MDIYO MAANA NIKASEMA WATU TUSOME DINI ZETU na nyongeza TUFANYE IBADA ILI MAMBO KAMA HAYO TUYAEPUKE KIURAHISI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…