Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota Land Cruiser 79,000$ MSRP
Range Rover 90,000$ MSRP
Nissan Patrol New Model 120,000$ MSRP
Japo bei inaweza isiwe kigezo.
Range hunitoi hapo hiyo Evoque ni sheeder
Nimeipenda sana hiyo patrol
Ingekuwa pesa yangu nachukua Range, kama watumia zaidi off road basi nitaenda kwenye Landcruiser.
kwanini range rover haijabamba kisiasa????yaani haijakubalika kwa wanasiasa wengi bongo...huwa najiuliza sana
Hakuna SUV duniani inaweza kushindana na range rover... Range Rover ni kama Rolls Royce SUV! Technology,comfortability in RR is just ridiculous!