MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Kwa zilizo tajwa hapo vx ndio mbabe lakini nissan anazo nzuri zaidi.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umeacha makes mbili - Benz na BMW!!
Nimetembelea GARI nyingi but hiyo VX V8 ni habari nyingine aisee comfortability yake si mchezo.
Hujatumia Nissan wewe kwenye off road utaipenda. Toyota kwenye off road nyepesi.
Sijatumia Range ila Nissan na Vx nimeendesha. . . . . .VX iachwe iitwe VX!!!
Power, Grip, Take off yake pia ni hatari, braking system ni poa sana na inashika haswaa na haiyumbi upon braking, milimani ni kama uko tambarare. . . . .Ingawa kwa Nissan wana toleo la 4.5 petrol nayo si haba kwa mpambano wa speed!!!
My money on VX
Mkuu hebu tujuze maana ya MSRP ili tuelewe.
Hata hivyo kwa kawaida Toyota LC200 ina bei kubwa kuliko Nissan Patrol.
Range Rover tatizo lake kubwa ni kuharibika kwa electrical/electronic systems zake, na hapa nchini wengi wamelizwa.
Baki njia kuu, baki magari ya Kijapani.
Wanasiasa ni washamba, mtu anaupata ubunge na uwaziri kwa kuuwa albino anawezaje kujua specifications na comfortablity na traction ya range rover?kwanini range rover haijabamba kisiasa????yaani haijakubalika kwa wanasiasa wengi bongo...huwa najiuliza sana
yaani hata mm nimneshangaa mkuu wanguHakuna SUV duniani inaweza kushindana na range rover... Range Rover ni kama Rolls Royce SUV! Technology,comfortability in RR is just ridiculous!
All in all range rover the best car
am done