Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Range pia ingehamishiwa katika kundi hili unalotaja maana tech ya Europe katika magari na hiyo ya Kijapan naona kama ligi mbili tofauti!!!!
Mimi nadhani wanasiasa na watu wengi wa kawaida wengi wanapenda Gari za Mjapani sio kwamba ni bora sana kuliko za Mjerumani au mzungu mwingine yoyote kutokana na Urahisi wa upatikanaji Vipuri vyake.
Katika hilo magari mengi ya kizungu yanasumbua.
Kwa zilizo tajwa hapo vx ndio mbabe lakini nissan anazo nzuri zaidi.
Mbabe kwenye nini? Hio VX V8 haiwezi hata kufukuzana na LR Disco 4 ya 3.0TDV6![/QUO
We mshamba unafananisha V8 na V6? Unajua horsepower nini kwanza ?
Mbabe kwenye nini? Hio VX V8 haiwezi hata kufukuzana na LR Disco 4 ya 3.0TDV6!
Afadhali umesema RR iwekwe pembeni....that thing is out of this world! Naomba vijana waangalie TOP GEAR kwasababu nsjua kui experience hii kitu sio rahisi,RR is always 10yrs ahead of other SUV...BMW walinunua Land Rover purposely baada ya muda mfupi wakatoa X5 then LR ikarudi GB lakini Leo Hi X5 kashaachwa na RR ten years!

Old Nissan ipi ni kali kuliko VX kaka. . . . . .sijatumia latest model ya Nissan ila zilizopo zinakaa kwa VX 100. . . . .The last model kabla Kilimo kwanza!!Nissan ni shughuli nyingine kwa offroad. Kinachoeashinda watu ni bei ns bei ya spare parts. Sijawahi kusikia nissan wameita magari yao kea sababu za kiufundi lkn vx zimerudishwa million na ushehe huko ulaya. Nissan ina confortability kubwa kuliko vx, mfano comfort ya old nissan ni zaidi ya hii vx mpya. Nimeshaendesha zote kasoro hii nissan mpya ambayo nayo wametumia wishbon kwenye susprnsion ya mbele tofauti na za zamani. Hivyo itakuwa imeongezwa comfort. Pia ukienda top gears utaona comment kuhusu nissan. Kuhusu mlima inategemea kama ina turbo au ni kavu, kavu haipandi ila turbo ni hatari na engine ni ndogo.
Hao sijaona SUV zao za kuingia hapo