Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Mercedes na BMW pia wekeni SUV zao ndio tuongee vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu tutapenda rohoni tu kuvimiliki ni ndoto hata ukipata kwa magumashi matunzo yake yatakushinda.lkn. Mpaka upambaanishe haya ni dhahiri upo top level ya kiwango hiki,
Kuna siku alikuja fundi kuomba msaada wa jinsi ya kufungua engine ya nissani,nilimuona huyo boss ndio kilaza unapeleka mtaani kwa watu ambao sio level yao kimatengenezo.
Mi nikija okota hela Nissan wamenibamba sana angalia jiko hiloo !!View attachment 228490
Mbabe kwenye nini? Hio VX V8 haiwezi hata kufukuzana na LR Disco 4 ya 3.0TDV6!
Me kwangu range man kwanza muungurumo wake huwa naupenda sana ni kukosa ela tu ila ninamahaba na hilo gari,
iyo nissan apo iko vzr sana, inachomoka cjaona!!!
Angalia bei yenye bei ya juu itakua the best
Naona kimtindo wameiiga VX V8. Si unaona morphology yake? Toyota wanatisha kwa kubuni muonekano Wa GARI aisee...
Range hunitoi hapo hiyo Evoque ni sheeder
Nimeshaweka mkuu
Old Nissan ipi ni kali kuliko VX kaka. . . . . .sijatumia latest model ya Nissan ila zilizopo zinakaa kwa VX 100. . . . .The last model kabla Kilimo kwanza!!
Kwa Nissan speed ipo kwa petrol ya 4.5 lile ndio jini kwa wese na speed hapo utakaa!!
Kuna vitu tutapenda rohoni tu kuvimiliki ni ndoto hata ukipata kwa magumashi matunzo yake yatakushinda.lkn. Mpaka upambaanishe haya ni dhahiri upo top level ya kiwango hiki,
Kuna siku alikuja fundi kuomba msaada wa jinsi ya kufungua engine ya nissani,nilimuona huyo boss ndio kilaza unapeleka mtaani kwa watu ambao sio level yao kimatengenezo.
Tatizo kubwa la Nissan ni silence rpm! Iko juu sana! Ukipata VX V8 ya Petrol nakuambia hata siku moja hautaitamani gari ingine!