Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
- Thread starter
- #21
Range Rover inaongoza ikifuatiwa na Land Cruiser VX V8 ya petrol. Nissan Patrol ni cha mtoto kwa hizo nyingine. Tatizo kubwa la Nissan Patrol ni kupoteza nguvu wakati wa kupanda mlima. Kiboko ya Nissan ni milima, yaani mpaka utaihurumia, haiendi kabisa.
Tiba
Inaelekea unazifahamu sana