RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkuu kujua na kumiliki ni lazima viende pamoja??!!!
Mafundi wanajua Sana magari lakini wachache Sana wanamilki hayo ma RR BMW benz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kujua na kumiliki ni lazima viende pamoja??!!!
Mkuu kwenye body work nissan anazo nzuri.
Nimevutiwa na hii hoja, shida watu hamjaelewa mwenye uzi anataka nn. Kwa elimu yangu ya autos BONGO gari ilioko practical ni VX hilo halina ubishi. Lakini the best SUV dunia nzima itaendelea kua na hakuna nyingine zaid ya Range rover. Izi story za mtaani sijui Nissan ama VX V8 kuzifananisha na RR ni kumkosea heshima Range rover, toka lini turbocharger ikamkuta Supercharge ni bora ukajua tofauti kwanza thn ucompare Nissan na VX ni turbocharge while Range rover ni Supercharge apa namaanisha kuna extraboost ya uchomaji in cylinder in addition to extra air, wakati turbocharge its only extra air uchomaji unabaki constant.
Tukija kwny suala la comfortability na luxurious Range ni next level Just compare zinapopita kwa road jinsi VX V8 ilivyo plastic na range ikoje. NIssan Kosa lao kubwa wanasuccumb to pressure hili toleo lao jipya engine ni very OK but shida ni power to weight ratio. nissan body zito so more power needed wakati range wamesolve suala la power to weight ratio body made of aluminium na also wametumia composite material so gari ni more lighter.
Kwa hali ya bongo na upractical au uhalisia VX V8 is the logical choice kuanzia terrain issues mpka maintanance BUT kwa best SUV heshima inabaki kwa Range rover. na watu waache kuangalia uzuri wa body ni vizuri ukajua technical stuff na technology kucompare vitu. Mwisho wa siku mtakuja kusema Yutong ni nzuri Kulko Scania Irizar au Volvo bus.
We mshamba unafananisha V8 na V6? Unajua horsepower nini kwanza ?
Turbocharger na supercharger zote sawa tuu(forced induction) tofauti turbo inaendeshwa na moshi wa exhaust wakati supercharger inaendeshwa na belt iliyounganishwa na engine.
Range ndio gari yangu ya ndoto,hayo mengine madebe tu kwangu
Range Rover iko juu japo cyo zote. Mfano Range Rover Autobiography ya 2013 ni comfortable seat zake zina massage, zinaslide zote hadi za nyuma, ina wireless music system kwamba watu wote wanne wanaweza kusikiliza musiki tofauti bila kuathiriana unavaa hear phone za wireless, screen yake mnaweza kuwatch vitu tofauti, dreva ataona map na abiria wa mbele ataweza kuangalia movie on the same screen on the same time na wengine wataangalia wanavyovichagua wao. Pia ni all weather, unaweza kupita rough road, unaeza kupita njia za tope na milimani nk. Ukiwa upo high speed mfano speed 140kph ghafla kukawa na bumps au gari au kitu kingine itapunguza speed yenyewe hadi minimum speed ambayo ni 80 kph hata kama umekanyagia mafuta hadi mwisho. Pia ina camera ndani na nje both sides of which unaweza kurekodi matukio hata ukivamiwa na majambazi au mtu kukusababishia ajali isipokuwa lazima uziprogam na kuziaweka on. Pia ni economical kwenye fuel consumption. Average ya 12 km per 1 liter. Bei yake hapa ni $ 160 bila ushuru. Tatizo ukilinunua hadi na maushuru ni zaidi ya Tsh 350 m. Wasiwasi wangu ni ukishalinunua haliuziki ni lako unless uuze nusu ya bei ya kununulia
Inafatiwa na Toyota Vx v8 land cruiser hizi nazo ni comfortable japo cyo zote na ni all weather. Kuna zingine cyo comfortable. Fuel consumption cyo mbaya ni 10-12 km/liter. Bei yake pamoja na ushuru yaweza fika Tsh 260m. Nalo ukilinunua haliuziki kwa faida.
Nissan cjaichunguza sana hii mpya ila bei nadhani ni karibia million 300 pamoja na ushuru.
Mkuu magari hayauziki kwa faida labda uchane spare parts ukitaka huge ROI wekeza kwenye Real Estate
Nilijua MTU Kama wewe utakuja tu! Kuna siku nilikuwa nasafiri na rafiki yangu Ana discovery 4 3.0tdv6 hio vx v8 tulikuwa tunaipita tukiamua tena kwenye mlima inabaki inatoa moshi tu! Kuna mahali tulisimama jamaa wa vx akauliza hii discovery v8 akaambiwa no v6 hakuamini! BTW horse power sio mbio vinginevyo kuna vitu zaidi ya horse power! Magari ya F1 yote yana power saw a lakini Kama unafuatilia gari ya Hamilton ilikuwa haishikiki!
Humu ndani kuna watu wamehama kwenye mada badala ya kuchambua kitaalamu wameanza kutolea wengine maneno makali, wengine wanaita magari ya kijapan ya watoto kuendea shule nk.
Ushauri wangu;
Kwa wingi huu ambao nimeuona hapa ukisapoti RR, BMW, Benz G Class nina imani kabisa Watanzania uchumi unakua hasa wana JF sina shaka siku tukiandaa Get Together Party Car Parking itapendeza.
Vinginevyo tusiishi maisha ya kwenye Top Gear wakati hali halisi haiko hivyo. Kuna mdau amenifurahisha hapo juu at least amepromote na kaSUV kangu Lexus RX, ahsante sana. Tukutane barabarani, tukutane filling station....
mkuu haya mavitu tuwaachie wenye ka escrow, siye zetu dl dl na bd bd.Haya makitu sisi wengine wenu ni kutuumiza tuu mioyo tukaishia kujilaani na ma umasikini yetu yaliyo topea!,
Kuna baadhi ya choices sio uzuri, ubora au uimara wa gari, bali ni brand tuu, kwenye saloon cars mimi ni Benz, kwenye SUV ni RR!, ila pia sisi African families, mke, kimada, watoto lukuki, huwezi kuiepuka option ya Japanese cars kushughulikia mambo ya nyumbani na vigari vya watoto kuendea collage!.
Kwenye SUV, umeziacha hizi zifutazo
Compact SUVs
Affordable Compact SUVs
Affordable Compact SUVs
Generally priced below $30,000.
See full rankings»
Luxury Compact SUVs
Generally priced above $30,000.
See full rankings»
Midsize SUVs
Affordable Midsize SUVs
Affordable Midsize SUVs
Generally priced below $40,000.
See full rankings»
Luxury Midsize SUVs
Generally priced above $40,000.
See full rankings»
Large SUVs
Affordable Large SUVs
Affordable Large SUVs
Generally priced under $55,000.
See full rankings»
Luxury Large SUVs
Generally priced above $55,000.
See full rankings»
Hybrid SUVs
Hybrid SUVs
Hybrid SUVs
See full rankings»
Crossover SUVs
Affordable Crossover SUVs
Affordable Crossover SUVs
Generally priced below $35,000.
See full rankings»
Luxury Crossover SUVs
Generally priced above $35,000.
See full rankings»
Off-Road SUVs
Off-Road SUVs
Off-Road SUVs
See full rankings»
2-Row and 3-Row SUVs
Affordable SUVs with 2 Rows
Affordable SUVs with 2 Rows
See full rankings»
Affordable SUVs with 3 Rows
See full rankings»
Luxury SUVs with 2 Rows
See full rankings»
Luxury SUVs with 3 Rows
See full rankings»
Pasco
Kaka grafani kuna wakati inabidi ujue dunia ya mbele inafananaje. Kujadili kuhusu magari sio lazima umiliki. Nimeleta humu nijue mawazo ya wengine hasa kwenye haya magari. Kuna sehem jana nlipita nikaona Nissan Patrol hii new model nikajiuliza inamaana hii ndo best kuliko RR? VX? Nikasema ngoja nilete hii mada humu nione mawazo ya wengine.
Na pia kujadili kitu haimaanishi lazima ukimiliki, unaweza siku "ukaokota" hela ukasema na mimi ngoja nivute RR yangu kulingana na mchango wa wana JF.
Jf inasaidia sana kaka, i'm here to learn and explore the world.
Nilijua MTU Kama wewe utakuja tu! Kuna siku nilikuwa nasafiri na rafiki yangu Ana discovery 4 3.0tdv6 hio vx v8 tulikuwa tunaipita tukiamua tena kwenye mlima inabaki inatoa moshi tu! Kuna mahali tulisimama jamaa wa vx akauliza hii discovery v8 akaambiwa no v6 hakuamini! BTW horse power sio mbio vinginevyo kuna vitu zaidi ya horse power! Magari ya F1 yote yana power saw a lakini Kama unafuatilia gari ya Hamilton ilikuwa haishikiki!
Mkuu Jidu, nimecheka, sio tuu dl dl na bd bd tuu, umeisahau na TZ11!.mkuu haya mavitu tuwaachie wenye ka escrow, siye zetu dl dl na bd bd.
yaani hata mm nimneshangaa mkuu wangu
hapo tuitoe Range rover kisha tushindanishe Nissan na toyota V 8 ambapo V8 itampita kwa mbali Nissan...RR mambo mengine kabisa