Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Aliyesema gari ya kijapani ni ya watoto kuendea shule, nilitoa option yangu, choices zangu na kusema kwa sisi Waafrika, Watanzania tukiwemo, tunatumia gari za Japan not by choice but by option tuu kuwa if you can't get want you want, you just take what you get!, nikimaanisha kuna wengi wetu tungependa kuendesha RR, BMW na Benz, lakini hali zetu za uchumi na umasikini wetu, hauruhusu, hivyo tunajikuta we have no option kwenye affordability zaidi ya kukimbilia japanese, they are cheaper tu get, cheper to maintain ingawa pia ni easily disposable!.Humu ndani kuna watu wamehama kwenye mada badala ya kuchambua kitaalamu wameanza kutolea wengine maneno makali, wengine wanaita magari ya kijapan ya watoto kuendea shule nk.
Kuna wenzetu ambao uchumi wao unawaruhusu kumiliki RR, BMW, na Benz, lakini wame opt for Japanese by choice, ndio hao unashuhudia choices zao ziko costly kuliko hata hizo RR, BMW na Benz!, its all matter of choice na sio dharau!.
By the way, mimi mtoa mada namiliki bd bd!, most of the times usafiri wangu ni dl dl na TZ 11!.
Pasco