Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

iyo nissan apo iko vzr sana, inachomoka cjaona!!!
 
kwanini range rover haijabamba kisiasa????yaani haijakubalika kwa wanasiasa wengi bongo...huwa najiuliza sana
 
Range Rover inaongoza ikifuatiwa na Land Cruiser VX V8 ya petrol. Nissan Patrol ni cha mtoto kwa hizo nyingine. Tatizo kubwa la Nissan Patrol ni kupoteza nguvu wakati wa kupanda mlima. Kiboko ya Nissan ni milima, yaani mpaka utaihurumia, haiendi kabisa.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…