Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls


Alafu elewa kitu kimoja izo turbocharger,supercharger na twinturbo unawezakufunga hata kwenye corola au starlet coz siku izi kuna turbocharger,supercharger na twintubo for normal cars,mm nawajua washikaj fulan wanafunga turbo tofaut hapa bongo kwa bei nzur, kama unagari wapelekee wambie wakuwekee supercharger utafulai jinsi kitu kitakavyo chomoka
 

Nimeipenda hii
 

Mambo si haya sasa yanafunguka hebu weka adress mkuu kuna watu hizi mambo ndio zinawapa raha . . . .
 

Mkuu, hivi nikiwa na ka Subaru kangu siwezi kuona hata vumbi lake? Maana unanitisha.
 
Ngoja mwaya nije tulale.........tunaweza kuota range na hiyo kilimo kwanza..........

wahenga walisema........ndoto mbili si sawa na moja...............


Kweli kabisa Mkuu
 

Hilo gari Mkuu acha tu,manufacturer kakomesha mbaya,ukija kwenye VOGUE kisu,SPORT ndio usintanie kabisa,ndio maana hata masuperstar mbele wanapush mandinga haya, na brand zingine kama HUMMER,LAMBOGRIN,BUGGATI,etc,huwakuti wakipush mi-land cruiser aisee
 
wakuu...itapendeza sana kama mtu akishamaliza kuisifia gari anayoiamini amalizie pointi zake kwa kuelezea uhusiano alionao na gari husika...mfano...sifia gari hiyo gari weeee mwisho sema...mimi ninayo range rover ya kwangu....mwingine aseme....vx v8 kiboko bana..mimi ni dereva wa mheshimiwa flani....mwingine aseme...nakuambia hakuna kama nissan patrol...mimi ni fundi gereji wa dt dobie.... maana kuna wengine wanasifia vitu kwa kuviona rodini kama mimi! sawa jamani?haya twende kazini sasa:smile-big::smile-big::smile-big:
 

sawa mkubwa...kama umewahi kusafiri kuna watu wanapenda ligi ndio huyo mwenye vx alichokuwa anataka ila alichemsha.
na hio 0-100kph ni mbio za kuanzia ambapo gari zenye engine kubwa mara nyingi zinakuwa superior na wala sio kipimo cha max speed ya gari,kukimbia kwa gari kunapimwa na max speed ambayo gari inaweza kwenda.

kuna vx v8 zina 240kph nyingine zina 180kph,hizi zote 0-100kph ni hizo sekunde ulizoweka hapo,sasa mimi binafsi nina european beast yenye 160MPH or 260KPH sasa hii engine yake ni cc2500 0-100kph obvious hizo vx zitakuwa superior lakini kwenye long distance hamna vx wala gx inanisumbua hata siku moja labda aanze kuruka matuta yenu hayo kama ya viazi ila lami kwa lami atasoma namba tu
 

mimi fundi magari huwa nazitest sana.
 

kuna mambo mengi....kubwa ni weight to power ratio, vinginevyo malori au bulldozers yangekuwa fastest maanake yana nguvu ajabu!!
 

that thing is DAMN UGLY[my opinion].....haina chochote kizuri,big engine lakini very slow ukifananisha na SUV nyingine, bad handling like a tank! in short kama hujui gari ndio utanunua HUMMER!!!!!
 
that thing is DAMN UGLY[my opinion].....haina chochote kizuri,big engine lakini very slow ukifananisha na SUV nyingine, bad handling like a tank! in short kama hujui gari ndio utanunua HUMMER!!!!!

Hummer ni kwa ajili ya showoffs
 
Umeongea kiutani hivi lakini hoja inamantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…