Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Cha ajabu sasa Serikali inajinasibu ina chakula ila hailishi watoto, Nchi imejaa wapuuzi sanaKuna sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani Kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia mifugo yangu unakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe Sisi tusife.
Scenario tofauti kipindi cha Nyerere nchi ilikuwa na njaa. Na nchi ilikuwa na ukame na tulitoka kwenye vita..... So ilikuwa inevitable.Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.
Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.
Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?
Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
Nani amesomea urais?Hakuna aliyebora wote wale wale mmoja ndoto yake kuwa mshika chaki mwengine mhudumu wa ndege
Kwani unga wa Yanga sio chakula cha binadamu mbona huliwa tuKuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.
We mwenyewe umesema wakati wa Nyerere ni sababu ya njaa, leo kuna njaa wapi Tanzania? unaujua utapiamlo wewe?Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.
Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.
Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?
Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
una uhakika watu wanajua hizi stori za unga wa yangaKuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.
Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.
Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?
Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
Hebu nisaidie, mpaka tende tunasaidiwa ndio sembuse ubeche?Tende zinatoka Saudi Arabia Msaada 🐼
Iko toto dogo mingi humu.una uhakika watu wanajua hizi stori za unga wa yanga