Kati ya Nyerere aliyetulisha unga wa njano, mahindi ya mifugo Marekani na Michele wa virutubisho yupi bora?

Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.

Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.

Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?

Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.

Mkuu unaona bora watoto wa kitanzania wakiwa mashoga?

Unafikiri ni sifa kutoa komenti kama hizi. Kuhoji jambo ndilo kujua jambo. Unataka viingie vbila kuhojiwa? Hata kama unapewa vya ovyo kwamba husihoji?

Acha umbulula.
 
Hayo ya Nyerere unayajua wewe, sisi hata hatukuwepo, Kwanza unaonekana una hoja, jipange ulete tena uzi,
Yahani msaada mpaka wa chakula kwenye nchi yenye aridhi yenye rutuba, maziwa na mito kuna vitu ukipewa msaada unasema kweli huu msaada ni sawa lakini sio chakula hili lipo ndani ya uwezo wetu.

Serikali ifike hatua ituondolee aibu kama hizi
Watoto wenu wana utapiamulo

Ova
 
Mkuu unaona bora watoto wa kitanzania wakiwa mashoga?

Unafikiri ni sifa kutoa komenti kama hizi. Kuhoji jambo ndilo kujua jambo. Unataka viingie vbila kuhojiwa? Hata kama unapewa vya ovyo kwamba husihoji?

Acha umbulula.
Mashoga kwani hamna mbona wapo na mnaishi nao
Acheni unafki nyie

Ova
 
Cha ajabu sasa Serikali inajinasibu ina chakula ila hailishi watoto, Nchi imejaa wapuuzi sana
Kwani ww umeshasaidia majirani zako mara ngapi?
Tusiwe wapeci kulaumu serikali au matamshi ya wanasiasa.
Na sisi rai kila moja wetu anao nafaci aliojaaliwa na mungu. Kutoa ni moyo.
 
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.

Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.

Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?

Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
Tofautisha kipindu cha uhuru na saizi!!

Serikali ilivotoka kwa wakoloni haikua na chakula
wakoloni walilima mazao ya biashara na yenye faida kwao

Miaka hamsini baadae tunarudi miaka 60
 
ARV ni jambo tofauti na vyakula vilivyoongezewa virutubisho.

Tujikitia kwenye mada ya vyakula.
Toka enzi za Mwl. Nyerere hadi leo bado taifa halijakomaa kiasi cha kushindwa kujitosheleza chakula?

Tunajivunia kuwa na Chuo Kikuu bora cha Kilimo SUA, Tuna vituo vya utafuti mbalimbali ambavyo pamoja vinapata fedha nyingi za serikali na nyingine za wahisani.
Ruzuku mbalimbali kwenye kilimo na uwepo wa wataalamu wa kutosha wa kilimo.

Hali ya hewa nzuri kwa ajili ya kilimo na ardhi yenye rutuba.

Bado tunahitaji msaada wa vyakula?

Kuhusu GMO, imekuwepo kuanzia 1973, hadi serikali ya awamu 1 inaondoka madarakani haikuwa technolojia inayoweza kuwa tishio.
Lakini kwa sasa, mjadala kuhusu GMO siyo wa kupuuzwa.
 
Kuna kitu sielewi naomba kuelimishwa, Nyerere alikwenda Marekani kwa rafiki yake Rais wa Marekani akamwambia watu wangu wanakufa njaa, Wamarekani wakatuletea mahindi ya njano (unga wa Yanga) ili ng'ombe sisi tusife.

Leo Wamarekani wamegundua utapiamlo ni tatizo kwa watoto wa Tanzania imekuwa na program ya kuhakikisha watoto wanakula na kushiba na kuboost nutritions maneno kibao.

Sasa swali la kujiuliza, mbona hatukuwahi kuhoji ARV zinazotolewa bure na Marekani ili kurefusha maisha ya waathirika wa HIV?

Bashe waambie Wamarekani hatutaki ARV viwanda tunavyo waje wazalishe hapahapa.
Njaa ya mwaka 1973/74 ilikuwa kali sana Afrika yote, siyo Tanzania tu; kwa hiyo Nyerere kufanya jitihada za kuwapatia raia wake chakula ulikuwa umauzi mzuri.

1710754359989.jpeg

Halafu mahindi (ya aina yote) ni sehemu ya chakuka cha mifugo wakati wa Masika kwa wafugaji wa Marekani. Kwa hiyo siyo kuwa Ungawa wa Yanga ni chakula cha mifugo, bali yote ni corn. Ni unga unauzwa pia kwa matumiz ya binadamu kwenye mduka ya chakula. Hivyo usipotioshe kuwa tuliletewa chakula cha mifugo.

1710754660592.png
 
ARV ni jambo tofauti na vyakula vilivyoongezewa virutubisho.

Tujikitia kwenye mada ya vyakula.
Toka enzi za Mwl. Nyerere hadi leo bado taifa halijakomaa kiasi cha kushindwa kujitosheleza chakula?

Tunajivunia kuwa na Chuo Kikuu bora cha Kilimo SUA, Tuna vituo vya utafuti mbalimbali ambavyo pamoja vinapata fedha nyingi za serikali na nyingine za wahisani.
Ruzuku mbalimbali kwenye kilimo na uwepo wa wataalamu wa kutosha wa kilimo.

Hali ya hewa nzuri kwa ajili ya kilimo na ardhi yenye rutuba.

Bado tunahitaji msaada wa vyakula?

Kuhusu GMO, imekuwepo kuanzia 1973, hadi serikali ya awamu 1 inaondoka madarakani haikuwa technolojia inayoweza kuwa tishio.
Lakini kwa sasa, mjadala kuhusu GMO siyo wa kupuuzwa.
Mbona hatuhoji Forever living na GNLD wanaouza product zenye virutubisho tena kutoka hukohuko Marekani?
 
Njaa ya mwaka 1973/74 ilikuwa kali sana Afrika yote, siyo Tanzania tu; kwa hiyo Nyerere kufanya jitihada za kuwapatia raia wake chakula ulikuwa umauzi mzuri.

View attachment 2938126

Halafu mahindi (ya aina yote) ni sehemu ya chakuka cha mifugo wakati wa Masika kwa wafugaji wa Marekani. Kwa hiyo siyo kuwa Ungawa wa Yanga ni chakula cha mifugo, bali yote ni corn. Ni unga unauzwa pia kwa matumiz ya binadamu kwenye mduka ya chakula. Hivyo usipotioshe kuwa tuliletewa chakula cha mifugo.

View attachment 2938128
Unayepotosha ni wewe kuleta picha iliyopigwa Darfur na photographer wa South Africa.

Njaa ya Tanzania ilitokana na nchi kuingizwa kwenye vita ya hovyo Kwa sababu ya Nyerere kumpa hifadhi Obotte ili ampinduwe Idd Amini.
 
1. Inawezekana nimekopi picha tofauti ila njaa ywa mwaka 1974/75 ilkuwa imeikumba Afrika yote. Ni wakati ambapo elimu ya el-nino ilikuwa haijafahamika sawasawa, na ikajirudia tena mwaka 1984/85 bya ya cycle ya miaka kumi. Picj zilzooonyesha watu na mifugo ikifa njaa ilisambaa sana na kuelekea kupinduliwa kwa Mfalme Haile Selassie.

2. Njaa ya Tanzania ya mwaka 1974 haikutokana na Vita, kwani vita ilipiganawa nmwaka `1978. Kulikuwa na ukame mkubwa sana, na vile vile production ya chakula mwaka 1973 haikuwa nzuri kutokana na operation vijiji. Kukosekana kwa akiba na kuwepo kwa ukame ndivyo vilivyosababisha njaa hiyo

3. Kuhusu Unga wa njano, siyo chakula cha mifugo tu bali ni nafaka zinazoliwa na binadamu pamoja na wanyama.

Tuwekane rekodi sawas
 
Issue kubwa NI virutubisho, mbona forever living na GNLD product zao ni za virutubisho? Kuna wakati nashindwa kuelewa watu na akili zako wanashindwa lessoning ndogo tu.
 
Ulisema tuliletewa chakula cha mifugo - yaani uliunderate sana chakula kilicholetwa mwaka ule bila hata kuweka relative scale kuwa food technology ya wakati huo ilikuwa katika kiwango gani. Unasema tulikuwa treated kama wanyama wasiokuwa na thamani ya utu. Hilo ndilo tamko kubwa lililoko kwenye post yako labda kama uliliweka bila kujua uzito wake. Mahindi ya njano tuliyoletewa wakati ule siyo chakula cha mifugo, ni nafaka kama nafaka nyingine.

Kuhusu virutubisho, ni vizuri utambue kuwa kuwa chakula cha mifugo pia huwa kinawekewa virutubisho.
 
Scenario tofauti kipindi cha Nyerere nchi ilikuwa na njaa. Na nchi ilikuwa na ukame na tulitoka kwenye vita..... So ilikuwa inevitable.
Lakini hii ya Sasa nchi malori yanapishana mpakani kulisha nchi jirani then waenda kuomba msaada WA Michele?
Kwa kweli inashangaza sana. Halafu unakuta mtanzania kabisa anasema Hilo ni sawa. Waafrika tumeshikiwa akili hata kwenye mambo yetu madogo madogo. Unauza Michele halafu unaenda kuomba mchele. Unapewa upo tofauti na wa kwako ukiukiza unaambiwa unavirutubisho maana kwako watoto wanautapiamlo.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Bashe kwa hili nakupa hongera wewe kama wazir wa kilimo... Waambie wapeleke congo na palestina wasitugeuze dumper pumbavu zako mtoa mada
 
Bashe anawachota akili watu kama wewe, kitu usichohitaji hakiwezi kuletwa nchini kwako.

Hizo ni aid and grants tumeomba wenyewe.

Tulivyokuwa wadogo nursery school tulikuwa tunakunywa uji wa buruga bure kutoka Kwa hawahawa mnaowabeza Leo.
 
Bashe anawachota akili watu kama wewe, kitu usichohitaji hakiwezi kuletwa nchini kwako.

Hizo ni aid and grants tumeomba wenyewe.

Tulivyokuwa wadogo nursery school tulikuwa tunakunywa uni wa buruga bure kutoka Kwa hawahawa mnaowabeza Leo.
unajua kwanini nampongeza??
 
Back
Top Bottom