Kati ya Pharmacy, Shop na Haircut salon ni biashara gani inayoweza kumletea mtu mafanikio ya haraka na ya uhakika?

Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata watakaopitia uzi huu kimya kimya.
Pharmacy.
 
Kwani wew ukiwa unanywele ndefu , unaumwa umepima umeandikiwa dawa na unataka kufanya shopping lakin japo hayo yote yamekuja kwa pamoja una mudu moja ni lipi utafanya kati ya hayo matatu?, Kama unaweza kuwa na kamtaji ka angalau 40M ningeshauri shusha pharmacy ya kueleweka tafufa technician mmoja na wew au shemeji etu awepo apo naye. Hapo wafahamu baadhi ya wafanya biashara wa baadhi ya pharmacy za size yako jipendekeze ikibidi waandalie hata Bia mtoke wote then waombe wakueleze kwa jinsi gani unaweza nunua madawa kwa bei nafuu na kwa wakati. Hapo utakuwa kwani madawa, chakula na vinywaji hizi ni biashara wenye akili kama kina Mo na Bhakresa wanafanya life is bound on it. Pia hutakiwi kuwa na shauku ya kupata haraka, kitu inatakiwa kuwa makini nacho in any business is to secure your capital, If you put 40Ms at least uwe na tathmini ya kutosheleza kwamba hakuna siku hiyo itapungua katika hesabu ya stock. In any business overshooting profits endangers capital security, kwakulitambua hilo matajiri na watu wengi wanaoelewa uchumi hawajali sana watapata muda gani bali hujali "is their capital safe?"
 
Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata watakaopitia uzi huu kimya kimya.
Pharmacy lakini angalia location. Watu tuko wengi na magonjwa ni unpredictable
 
Back
Top Bottom