Kati ya pombe, wasichana na kamari kipi kinarostisha Sana?

Tutoke lini tukapige vitu??
 
Pombe inadepend unakunywaje..ninawafahamu watu ambao pombe inawafilisi..rafiki yangu kila mwezi analipa madeni ya pombe zaidi ya mil3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…