Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,122
- 2,445
Tutoke lini tukapige vitu??Pombe haifilisi kama hautakunywa kila siku au nyingi na inategemea na aina ya pombe.
Sasa vi desperado 6 mara moja kwa wiki ufilisike kweli?
Raha ya pombe bhana uwe na kampani. Yaani mimi kuliko nikanywa pombe mwenyewe bora nisinywe. Nikijisikia kunywa namtafuta rafiki yangu namtoa hata kama hana hata mia nitalipa.