PostGE2025 Kati ya Rais Samia na Gen Z nani anapaswaye kuomba au kutoa msamaha?

PostGE2025 Kati ya Rais Samia na Gen Z nani anapaswaye kuomba au kutoa msamaha?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Tuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Rais Samia akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo.

Nani hajui atendalo kati yake na wahanga wake yaani Gen Z? Nani anapaswa kuomba na kutoa msamaha kati ya wawili hawa. Nani, anajidanganya na kuwadanganya wengine ili iweje? Samuya tafadhali, Watanzania si wajinga kiasi hicho.
 
Sisi kazi yetu sio kusamehe wala uo msamha wake atuutaki maana anaetia Msamaha ni Mungu,Gen z tunasema tutamuwahisha yeye na genge lake Kwa Mungu ili akasamehewe na kufanya maridhiano kwanini aue raia wake
 
CCM kiutawala ilipofikia ijifunze sudani,iraq,italy,ujerumani kipindi cha nazi,japan kwa china na sehemu nyingi ambazo leo lile neno mkubwa hakosei mnalotumia afrika linawaponza
 
CCM kiutawala ilipofikia ijifunze sudani,iraq,italy,ujerumani kipindi cha nazi,japan kwa china na sehemu nyingi ambazo leo lile neno mkubwa hakosei mnalotumia afrika linawaponza
Sio CCM wote wanaunga mkono yanayoendelea ndio maana kuna kina Mpina, Polepole na Gwajima ni kwamba tu wamebanwa kende. (Umeona hata raia wakiikataa wanavyotumia bunduki kujiweka, zaidi ya watanzania 10K wameuawa yaani tunazungumzia wastani wa lita 50K za damu zimenyeshea ardhi iliyokuwa ya amani ya Tanzania, swali linabaki ni adhabu gani wanastahili wauaji?)
 
Tuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Samuya akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Nani hajui atendalo kati yake na wahanga wake yaani Gen Z? Nani anapaswa kuomba na kutoa msamaha kati ya wawili hawa. Nani, anajidanganya na kuwadanganya wengine ili iweje? Samuya tafadhali, Watanzania si wajinga kiasi hicho.
Chadema ndio wanatakiwa
 
Hii nchi haina raisi huyo raisi alichaguliwa na nani??
 
Samuya anajifanya mungu wa tanzania kwa maneno yake ya kishenzi eti hawajui walitendalo ivi serious ana akili huu kizimkazi
 
Back
Top Bottom