The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Sio CCM wote wanaunga mkono yanayoendelea ndio maana kuna kina Mpina, Polepole na Gwajima ni kwamba tu wamebanwa kende. (Umeona hata raia wakiikataa wanavyotumia bunduki kujiweka, zaidi ya watanzania 10K wameuawa yaani tunazungumzia wastani wa lita 50K za damu zimenyeshea ardhi iliyokuwa ya amani ya Tanzania, swali linabaki ni adhabu gani wanastahili wauaji?)CCM kiutawala ilipofikia ijifunze sudani,iraq,italy,ujerumani kipindi cha nazi,japan kwa china na sehemu nyingi ambazo leo lile neno mkubwa hakosei mnalotumia afrika linawaponza
Huyo ndo mtu mbayaWote tunajua Kiongozi aliyetufikisha hapa, kwa sababu zake za ubinafsi na familia yake, anahisi familia yake tu ndio watu zaidi ya watanzania 70M
Chadema ndio wanatakiwaTuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Samuya akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Nani hajui atendalo kati yake na wahanga wake yaani Gen Z? Nani anapaswa kuomba na kutoa msamaha kati ya wawili hawa. Nani, anajidanganya na kuwadanganya wengine ili iweje? Samuya tafadhali, Watanzania si wajinga kiasi hicho.