Kati ya Rushwa hizi mbili, Rushwa ipi ni mbaya zaidi

Kati ya Rushwa hizi mbili, Rushwa ipi ni mbaya zaidi

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,744
1) Mtu ana Mali yake mbovu, na anajua kwamba ni mbovu, anahonga ili itoke haraka.

2) Mtu ana Mali yake safi kabisa, na anajua kwamba ni safi kabisa, anahonga ili itoke haraka.
 
Iwe safi ,iwe mbovu mtoaji+mpokeaji wote wamevunja sheria
 
Back
Top Bottom