Kati ya Said Michael na Masoud Kipanya, Nani mkali kwenye Katuni za uchambuzi?

Kati ya Said Michael na Masoud Kipanya, Nani mkali kwenye Katuni za uchambuzi?

It depends..........

Pinda%2Bna%2BKikwete.jpg
 
Masoud yuko vizuri ....Michael is coming....anastahili pongezi for sure
 
Huyo kipanya namwonaga ni wakawaida sana. Nothing exceptional.
My favorite ni Gado.
 
Huenda pengine wachoraji hawa hawajijui! Said Michael amespesholaiz caricature na Masoud Kipanya kaspesholaiz katuni.
Caricature na katuni zinatofautiana sana. Caricature ni kuchora watu halisi, kwa nia ya kuwakejeli/kutania. Said Michael is a talented caricaturist, na Masoud ni expert wa general cartoons.
Hizi hapa chini ni baadhi ya caricature za Said Michael:

View attachment 229993CARICATURE2.jpg
 
Hata Said Michael anajua kuwa Masoud Kipanya anaogopesha katika tasnia ya katuni Tanzania. Lakini top ni James Gayo wa Kingo ambaye haandiki hata neno moja

Gayo anampa nafasi msomaji ajifikirishe kupata kilichomaanishwa...naipenda sana katuni ya Kingo.ila kwa hapa Masud zaidi
 
Kipanya ni legend kaanza longtime na bado anawakilisha, huyo Said nimeanza kumsikia hivi karibun. Anyway, what abt Nathan Mpangala?
 
Back
Top Bottom