Ana masihara huyu.Yaani unataka kusema samaki kama mbala na kitoga kutoka Ifakara, samaki kama sangara na Sato kutoka Ziwa Victoria, Migebuka kutoka Ziwa Tanganyika wamepitwa ladha na samaki wa baharini wenye chumvi!
Mjadala huishie hapaAta chakula kikikosa chumvi utakiona kibaya mpka hapo jibu unalo
Duh itakua una matatizo weweAsee sipendi samaki na wenzake kina dagaa
Dagaa sio samaki ππAsee sipendi samaki na wenzake kina dagaa
Alikudanganya huyo πππDuh itakua una matatizo wewe
Nilienda hospital nikapigwa sindano damu ikaruka yule nurse akanambia nyie mnakula samaki sana ndo mana mna damu nyingi
π€£π€£π€£π€£π€£ inawezekana ila maisha yetu bila ya kupata samaki kwenye mlo mmmmmhhh hainogiAlikudanganya huyo πππ
Duh itakua una matatizo wewe
Nilienda hospital nikapigwa sindano damu ikaruka yule nurse akanambia nyie mnakula samaki sana ndo mana mna damu nyingi
Dagaa sio samaki ππ
π€£π€£π€£π€£π€£ unanitishaaaa?Kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi hospitali ... damu ikiruka kwa speed hivyo huwa kuna 60% possibility kwamba huyo mtu ni HIV+ π€¦ββοΈ
π€£π€£π€£π€£π€£ unanitishaaaa?
Kipindi iko nilimpeleka wife hospitali alikua na mimba na kashajifungua since septembre na tukapimwa sote tupo vizuri tu
Sijaukwaa bado na gridi ya taifa ipo mbali nami