Kati ya samaki wa maji chumvi/bahari na maji baridi unapenda yupi?

napenda sana nyama ya kamongo esp kale ka mlija ka katikati kalivyo kama mpira flani na mayai ya samaki yaliyo chemshwa, na kichwa cha sangara mnono alie chemshwa nivute ule ubongo😋😋 naishiwaga pawa
We nawe Zombie Eti.! Maubongo ya samaki na minjicho🥰
 
Maji chumvi ni noma...ushawahi kula Tasi au Kolekole?
 
Watu wanamsifia SATO ingawa kuna nchi kama Norway hao samaki hawatakiwi.. yaan ni uchafu kwao.. ukibisha fanya research urudi..

Hata bei.. SATO unaweza mpata kwa usd 10 hapa Tz. Ila kuna samaki wa maji chumvi bila usd 100+ hauwez kumla.. same kg same length.
 
Hapo chacha!! Mm na maji chumvi kwa sana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…