Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na kejeli.
Aliponiachaa niliumia balaa maana nilimpenda Na ndie alikuwa msichana Wangu wa kwanza na nilikuwa na dream nae tukaachana. Apo takribani mwaka Mpaka akajifungua mtoto wa kike Mimi kweli iliniwia vigumu kumsahau Ila nikaja mpata another girlfriend nikiwa chuo tumuite linda , so far Linda tulianzisha mahusiano tukapendana sasa nilipokuwa nakaribia maliza chuo prisca akawa ananitafuta akinammbia amejuta kuniachaa na anataka kurudiana nami eti jamaa ake aliemzalisha awaelewani so wameachana Anaomba nafasi turudiane…

For that time apo nilikuwa nipo na uyu girlfriend linda alikuwa annipenda ila kutokana nilikuwa bado nampenda first girl nikajikuta nipo nao wawili sasa nikawa nashindwaa nibaki na yupi maana x alipo rudi amekuja nigandaa ataki nipa space kabisa so am in dillema which to choose I need advice
Kifupi wewe na huyo moyo wako plus huyo singo maza wote ni maboya.......

Na wewe kama boya mkuu nakuambia once it comes to marriage mwanaume hatumii moyo anatumia akili kuamua amuoe nani na amuache nani. Sawa boya mkuu
 
Anayekidhi vigezo vyako, ndiye sahihi kumuoa mkuu. So, sikiliza moyo wako, then choose wisely.

Ila on my point of view, achana na Prisca, komaa na Linda. Kilichomrudisha Prisca, sio upendo wake kwako, Bali ni manyanyaso anayopewa na mzazi mwenzie. Siku mzazi mwenzie akimtaka, hata kama ni usiku wa manane, atamfata
Huu ushauri wa chini ndio ulitakiwa umpe, ukimwambia mwanaume asikilize moyo unampoteza, mwanaume yake akili, mambo ya moyo ni wanawake.
 
Baki na Linda, Prisca mambo yake muachie mwenyewe...
 
una sehemu unapendwa na una sehemu uliumizwa lakini inaelekea umeamua kuchagua maumivu.
 
Back
Top Bottom