Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?

Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?

Singida unaogopa wanawake, Ruvuma unaogopa wachawi!!!....hizo zote siyo changamoto za kumkimbiza mtu sehem, ni kuonesha namna gani ulivyo weak. Btw mimi nalima Ruvuma, nalima Mbeya, nanext week naenda kuangalia shamba Mgao na Nanhyanga. We endelea kuogopa hirizi
Bro samahani ni mgao Kijiji au mgao wa mashamba je mbeya walima nini
 
Samahani Mkuu nimezaliwa Dar japo huko Mtwara ni Nyumbani kwa upande wa ' Bidashi ' wangu ( Mum ) pamoja na Lindi ila sijawahi ' Kukanyaga ' kabisa Mtwara isipokuwa Lindi hasa ' Nachingwea ' niliwahi kwenda mwaka 1988 kama siyo 1989. Mkoa ambao nimeenda na naenda sana ni wa Mara ( Musoma ) ambako ndiko ' Mshua ' wangu ( Dingi ) anatokea. Na naenda sana Mara ( Musoma ) kwasababu ya Samaki wengi na naogopa kwenda Mtwara kwakuwa Panya ni wengi halafu wametukuka. Narudia tena kukuomba usipoteze kabisa muda wako kwenda sijui Ruvuma au Singida huko hakuna Kitu halafu Watu wa huko ni ' Washamba / Mambwigira ' sana.
Bro ww mchanganyiko wako wa wazaz upo kama mie but mie dingi rufiji mama ndo huko mara musoma vijijini majita, bro nimeitikia zao la korosho huku mtwara na ndio mara ya kwanza nafika mtwara wilaya ya tandahimba aisee si mchezo utajiri wa ardhi upo huku na huku watu wamelala bado karibu mtwara ila mie nimekuja kuwekeza tu makazi yangu ni dar
 
Bro ww mchanganyiko wako wa wazaz upo kama mie but mie dingi rufiji mama ndo huko mara musoma vijijini majita, bro nimeitikia zao la korosho huku mtwara na ndio mara ya kwanza nafika mtwara wilaya ya tandahimba aisee si mchezo utajiri wa ardhi upo huku na huku watu wamelala bado karibu mtwara ila mie nimekuja kuwekeza tu makazi yangu ni dar
Nenda pm pls
 
Naishi Singida karibu sana kama una lengo la kufuga kuku aisee huku ndo penyewe njoo pm nikupe full data za singida
Hizo data huwezi kuziweka hapa ili na wengine wakafaudu? Mijitu mingine ikoje lakini? Au unajimbilia pm ili ukatongozwe?
 
Unit cost of production ni kubwa huko Songea kwa peasant unless ww ni large scale farmer
Barabara sio hoja hata rukwa au mbeya kuna barabara lakini kilimo hakijawa na tija kwa mkulima mdogo sababu ya soko kuwa mbali so madalali ndo mnawafanyia kazi
Better Morogoro kama ishu ni kilimo,songea hakuna soko huko
Hakuna soko lakitu gani mkuu? Na kwanini production cost iko juu?
Unaongea kimakaratasi zaidi au wewe ni mkulima?
 
Nipo njian kuelekea huko kufanya physical verification nadhan ntakuja na jibu zur zaid
 
Tatizo lingine la Ruvuma bila mbolea huvuni chochote! Mikoa ambayo iko vizuri kwa kilimo na ufugaji ni Kigoma, Rukwa, Katavi, Lindi, Mtwara, Kagera (mvua za uhakika lakini watu wamelala usingizi wa pono).
 
Nenda songea kilimo kikikulipa nenda singida kale bata kuna totoz wa ukweli
 
Nipo njian kuelekea huko kufanya physical verification nadhan ntakuja na jibu zur zaid
Ukitoka huko Mkuu pitia na Katavi, Rukwa, uje utokee Kigoma wilaya za Kasulu na Kibondo wakati unarudi kwenu ndipo ufanye ulinganifu kwa usahihi!
 
Habari wakuu?. Hope tunajiandaa vema na sikukuu ya pasaka pia hongereni kwa mapumziko mareeeefu!.

OK nirudi kwenye kitu kilichonileta hapa kwenu nyie wadau na wataalam wa fani mbalimbali mliopo humu ndo maana hakuna kinachoshindikana ndani ya Jamiiforums. Naombeeni kujuzwa kati ya songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na UFUGAJI na KILIMO!?.

Hapa tutaangalia na gharama za maisha na huduma za kijamii pia.
KUMBUKA nipo tayar kuishi hata kijijini sana ili mradi nifanikishe lengo langu la kutoka kiuchumi kupitia ufugaji hasa wa UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI .

Asanteni sana na poleni kwa kuwatoa kwenye mada zetu za siasa
Songea.
Singida kuna kaukame fuani hivi, ambako tofauti yake ni ndogo sana na Dodoma
 
Ukitoka huko Mkuu pitia na Katavi, Rukwa, uje utokee Kigoma wilaya za Kasulu na Kibondo wakati unarudi kwenu ndipo ufanye ulinganifu kwa usahihi!
Nipo naelekea songea,then lindi mpaka mtwara na ntapitia morogoro kurudi mbeya. Nina wilaya na vijiji ambavyo wadau wameshauri nikajionee fursa huko
 
Sijui niseme bahati mbaya au nzuri Mkuu kwani Mikoa yote hiyo ' tajwa ' ni ya ' Watani ' zangu wakubwa sana Wangoni na Wanyiramba / Wanyaturu. Kujibu tu swali lako si Ruvuma wala Singida ambako labda unaweza ukatoka Kimaisha. Sana sana huko Ruvuma utatoka tu na zawadi za ' Hirizi ' nyingi na huko Singida unaweza ukatoka tu ni Zawadi za ' Gono ' na ' Kaswende '. Usipoteze muda wako kwenda ' Kuwekeza ' huko tafadhali ila kama kweli unataka ' Kuwekeza ' na kutoka haraka Kimaisha nenda Mikoa ya Mtwara na Mara tu ambako huko kuna ' Fursa ' nyingi na ' Utajiri ' Mkuu. Halafu usisahau hiyo Mikoa Mtwara na Mara ndiyo Mikoa pekee iliyobarikiwa mno hapa Tanzania.

Nasisitiza tena Kwako Mkuu usipoteze muda wako kwenda ama Ruvuma au Singida. Karibu Mtwara na Mara utajirike.
Hivi wewe unakujua mtwara kweli... Unakujua songea kweli..??! Daah aisee
 
Singida unaogopa wanawake, Ruvuma unaogopa wachawi!!!....hizo zote siyo changamoto za kumkimbiza mtu sehem, ni kuonesha namna gani ulivyo weak. Btw mimi nalima Ruvuma, nalima Mbeya, nanext week naenda kuangalia shamba Mgao na Nanhyanga. We endelea kuogopa hirizi
Nani aliwadanganya ruvuma kuna uchawi sana...
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Sasa hivi barabara zimefunguka uelekeo wote, vijiji vyote ukiwa unatokea barabara ya njombe viko accessible, wilaya ya namtumbo pia barabara ya uelekeo wa mtwara ni lami tupu, koote huko ardhi ina rutba na mvua za kutosha, na wenyeji hawana maneno ukitua popote ulizia ofisi ya mtendaji nenda kajitambulishe eleza lengo lako utasaidiwa bila shida, ardhi ipo ya kutosha. Kwa vile unaenda vijijini basi ni vizuri kuchukua barua ya utambulisho kutoka huko utokako, na kama ulkuwa mwajiriwa ukaacha kazi beba vitambulisho vyako. Ruvuma zao kuu wanalolima ni mahindi, pia wanalima maharage, kahawa, korosho, karanga, mihogo nk, kifupi ardhi ni inakubali mazao kibao, niwewe tu. Na kwavile wewe unataka kwenda kuishi hukohuko nakushauri tafuta vijiji ambavyo haviko mbali sana na mji, Maeneo kama Mlilayoyo, Mtangimbole, Shuleyatanga, jirani na barabara kuu na pia huduma za umeme na zingine za kijamii, unaweza kujikuta unafuga samaki pia ambao wanahitajika sana Songea. Kiikubwa tafuta kijiji uhame kwanza mkuu, ukipata hata ekari 10 za jirani kijijini we lipa jenga kajumba kako zungushia uzio anza mambo.
Safi... We umeelezea uhalisia wa songea... Sina haja ya kulezea tena...umemaliza kila kitu bosd
 
Kwa ufugaji wa kuku nenda Singida, kwa kilimo Ruvuma patakufaa zaidi.
Hauni kwamba sehemu ambayo kuku wapatikana kwa bei juu ndyo ina opportunity kubwa katika ufugaji wa wa kuku... ??! Kafugie kuku songea utapiga mpunga
 
Back
Top Bottom