Uhakika wa soko la mazao kati ya dar na songea wapi ni uhakika?
Mkulima au mfugaji wa morogoro au singida wakienda kuuza zao aina moja nani atakuwa kwenye disadvantage zaidi?
Singida kuzuri tuwasilianeNaishi Singida karibu sana kama una lengo la kufuga kuku aisee huku ndo penyewe njoo pm nikupe full data za singida
Habari wakuu?. Hope tunajiandaa vema na sikukuu ya pasaka pia hongereni kwa mapumziko mareeeefu!.
OK nirudi kwenye kitu kilichonileta hapa kwenu nyie wadau na wataalam wa fani mbalimbali mliopo humu ndo maana hakuna kinachoshindikana ndani ya Jamiiforums. Naombeeni kujuzwa kati ya songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na UFUGAJI na KILIMO!?.
Hapa tutaangalia na gharama za maisha na huduma za kijamii pia.
KUMBUKA nipo tayar kuishi hata kijijini sana ili mradi nifanikishe lengo langu la kutoka kiuchumi kupitia ufugaji hasa wa UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI .
Asanteni sana na poleni kwa kuwatoa kwenye mada zetu za siasa
Asante sana mkuu,nachukua ushaur wako
Unamdanganya wazi wazi..Mara imebarikiwa na nini?sisi wa Mwanza hapa tunaijua Mara mwanzo mwisho na ndiyo tunaihudumia pakubwa kimahitaji.yaani Mara ikawe mkoa uliobarikiwa kwa kipi.sana sana ungemwambia aje hapa Mwanza,aende Bukoba,aende Manyara au hata huko kaskazini kote.maeneo anayoweza kufuga na kulima pia.najua Mara inawafugaji lakini si kwa kumshauli kwamba Mara ndiyo zaidi ya Singida.bado hapo hapo Singida anaweza kutusua maisha kwa kilimo biashara.sema wewe utakua mjita au mkurya ama akabila ya mkoa wa Mara ndiyo maana unaweza dhani kwenu ni zaidi tu kuliko SingidaSijui niseme bahati mbaya au nzuri Mkuu kwani Mikoa yote hiyo ' tajwa ' ni ya ' Watani ' zangu wakubwa sana Wangoni na Wanyiramba / Wanyaturu. Kujibu tu swali lako si Ruvuma wala Singida ambako labda unaweza ukatoka Kimaisha. Sana sana huko Ruvuma utatoka tu na zawadi za ' Hirizi ' nyingi na huko Singida unaweza ukatoka tu ni Zawadi za ' Gono ' na ' Kaswende '. Usipoteze muda wako kwenda ' Kuwekeza ' huko tafadhali ila kama kweli unataka ' Kuwekeza ' na kutoka haraka Kimaisha nenda Mikoa ya Mtwara na Mara tu ambako huko kuna ' Fursa ' nyingi na ' Utajiri ' Mkuu. Halafu usisahau hiyo Mikoa Mtwara na Mara ndiyo Mikoa pekee iliyobarikiwa mno hapa Tanzania.
Nasisitiza tena Kwako Mkuu usipoteze muda wako kwenda ama Ruvuma au Singida. Karibu Mtwara na Mara utajirike.
Sasa hivi barabara zimefunguka uelekeo wote, vijiji vyote ukiwa unatokea barabara ya njombe viko accessible, wilaya ya namtumbo pia barabara ya uelekeo wa mtwara ni lami tupu, koote huko ardhi ina rutba na mvua za kutosha, na wenyeji hawana maneno ukitua popote ulizia ofisi ya mtendaji nenda kajitambulishe eleza lengo lako utasaidiwa bila shida, ardhi ipo ya kutosha. Kwa vile unaenda vijijini basi ni vizuri kuchukua barua ya utambulisho kutoka huko utokako, na kama ulkuwa mwajiriwa ukaacha kazi beba vitambulisho vyako. Ruvuma zao kuu wanalolima ni mahindi, pia wanalima maharage, kahawa, korosho, karanga, mihogo nk, kifupi ardhi ni inakubali mazao kibao, niwewe tu. Na kwavile wewe unataka kwenda kuishi hukohuko nakushauri tafuta vijiji ambavyo haviko mbali sana na mji, Maeneo kama Mlilayoyo, Mtangimbole, Shuleyatanga, jirani na barabara kuu na pia huduma za umeme na zingine za kijamii, unaweza kujikuta unafuga samaki pia ambao wanahitajika sana Songea. Kiikubwa tafuta kijiji uhame kwanza mkuu, ukipata hata ekari 10 za jirani kijijini we lipa jenga kajumba kako zungushia uzio anza mambo.
Kwa Singida utategemea kilimo cha mvua sana sana,ila utalima Alizeti hiyo ni simple sana,Nenda Singida Vijijini has kule pembeni kabisa karibu na Wilaya ya Hanang (mf.Kijiji kimoja kinaitwa Ngamu saa mbili hadi Singida town) ardhi iko na rutuba. Utaanza kukaa kijiweni kuna umeme utakodisha nyumba elf 15-30 kuna umeme,na huduma zingine za kijamii zipo.
Utakodisha sijui ni eka ngapi lakini ni vizuri ukaanza na eka 10-20. Bei yake ni rafiki kuanzia kukodisha hadi kulima
Mfano wa mchanganuo wa eka 10 katika alizeti.
Kukodisha ni elf 50-100 inategemeana na majira na anayekodisha ana changamoto kiasi gani ,Tufanye wastan elf 80/eka
so
Kukodisha
Tsh 8,0000 x eka 10=800,000. Kukodisha ,bei iko very flexible itategemeana na wewe.
Tsh 40,000x 10=400,000 hapa ni Kulima kwa ajjili ya kuweka mbegu/Kupanda.hiyo ni bei ya trekta ya ng'ombe ni elf 30.
Tsh 5,000 x 10=50,000 hiyo ni mbegu ya kienyeji nyeupe( sisi tunaita serena) inatoa ukiamua kukamua mafuta.
Tsh 30,000x10=300,000 hii ni palizi kumbuka alizeti ina palizi moja tu.
Tsh 5,000x10=50,000 hapa ni kukata kwa ajili ya kupiga piga
Tsh 20,000x1= 20,000 kukusanya toka shambani hadi sehem utakayo pigapiga.(sisi tunaita kupura) kwa eka zote.
Tsh 20,000x1 =20,000 kupiga(Kupura) na kupepeta-kwanza hapa we fanya hiyo kazi ni rahisi sana.
Tsh 5,000x1 =5,000 Uzi wa kushonea pamoja na Sindano
Tsh 600x 120(idadi ya gunia) =72,000 hii ni mifuko ya kuhifadhia.Japo ukipata safari ya Arusha utapata kwa tsh 300.
Tsh tufanye 50000 kodisha sehem ya kuhifadhia,japo unaweza kuhifadhi bure au ukaweka hapo nje ka nyumba ina geti.
Jumla kuu =(1,767,000) au
Eka moja inatoa kati ya gunia 10-15. Lets make 12/eka=120 Kuuza hadi kufikia December bei yake ni hadi elf 75.Lakini we uza kwa mwezi wa 9 ili ujiandae kukodisha tena bei ni kati ya elf 50-55 .Uza kwa elf 50
Mauzo
Idadi bei@ Jumla kuu
120x 50,000 =6,000,000
Mauzo-Gharama = Faida
6,000,000 - 1,767,000 =4,233,000
Sasa rudi tena shambani kafanye eka 30.Mavuno yake ukakamue mafuta,utauza mafuta,mashudu,na mafuta ghafi-ingawa hayana bei sana haya crude oil.
Pia kuna watu wanauza mimea ikiwa shambani,amepanda amepalilia afu mnafanya tathimini unanunua,Wakulima wengine wanauza gunia kwa elf 25 ikiwa shambani akivuna anakulipa(Sisi tunaita tunatoa advance)
Mengine unaweza kulima vitunguu ila ukishakuwa mwenyeji hapa ndio patamu zaidi,japo risk ni kubwa sana,ila ukifanikiwa baasi,Utalima mahindi pia.
Risks zake zaweza kuwa,ni mda mrefu tangu umepanda hadi kuvuna, Kukodishiwa eka 1 watu wawili-Hapa dawa yake ni mfanye kwa maandishi,Wadada wazuri na watajitaidi kwa kila namna akumiliki ata kwa kutumia miundo mbinu-Ila itakuwa ni uzembe wako,Mvua kuchelewa n.k
Ufugaji wa kuku ,tutafuga chotara,kwa vile wanakuwa haraka,pia watu wa huku hawapendi wa kisasa wanaamini huwa wanakuzwa kwa dawa,wanaume wakila wanaota matiti.
Mchanganuo wake tutafanya siku tukionana kijijini.
Hapohapo ulipo unaweza kufuga kuku
Nimekuelewa sana mkuu...!
Changamoto zipi zilizopo maeneo haya ambazo tunaweza zigeuza kuwa fursa?
Technolojia ya kiafrika ikoje maeneo haya hasa kwa mgeni ambaye hafahamiki kwa wenyeji?
Vitu gani vya kujiepusha navyo hasa ukifika kijijini hapo?!
Asiulize swali kwa mchanganuo huu tenaKwa Singida utategemea kilimo cha mvua sana sana,ila utalima Alizeti hiyo ni simple sana,Nenda Singida Vijijini has kule pembeni kabisa karibu na Wilaya ya Hanang (mf.Kijiji kimoja kinaitwa Ngamu saa mbili hadi Singida town) ardhi iko na rutuba. Utaanza kukaa kijiweni kuna umeme utakodisha nyumba elf 15-30 kuna umeme,na huduma zingine za kijamii zipo.
Utakodisha sijui ni eka ngapi lakini ni vizuri ukaanza na eka 10-20. Bei yake ni rafiki kuanzia kukodisha hadi kulima
Mfano wa mchanganuo wa eka 10 katika alizeti.
Kukodisha ni elf 50-100 inategemeana na majira na anayekodisha ana changamoto kiasi gani ,Tufanye wastan elf 80/eka
so
Kukodisha
Tsh 8,0000 x eka 10=800,000. Kukodisha ,bei iko very flexible itategemeana na wewe.
Tsh 40,000x 10=400,000 hapa ni Kulima kwa ajjili ya kuweka mbegu/Kupanda.hiyo ni bei ya trekta ya ng'ombe ni elf 30.
Tsh 5,000 x 10=50,000 hiyo ni mbegu ya kienyeji nyeupe( sisi tunaita serena) inatoa ukiamua kukamua mafuta.
Tsh 30,000x10=300,000 hii ni palizi kumbuka alizeti ina palizi moja tu.
Tsh 5,000x10=50,000 hapa ni kukata kwa ajili ya kupiga piga
Tsh 20,000x1= 20,000 kukusanya toka shambani hadi sehem utakayo pigapiga.(sisi tunaita kupura) kwa eka zote.
Tsh 20,000x1 =20,000 kupiga(Kupura) na kupepeta-kwanza hapa we fanya hiyo kazi ni rahisi sana.
Tsh 5,000x1 =5,000 Uzi wa kushonea pamoja na Sindano
Tsh 600x 120(idadi ya gunia) =72,000 hii ni mifuko ya kuhifadhia.Japo ukipata safari ya Arusha utapata kwa tsh 300.
Tsh tufanye 50000 kodisha sehem ya kuhifadhia,japo unaweza kuhifadhi bure au ukaweka hapo nje ka nyumba ina geti.
Jumla kuu =(1,767,000) au
Eka moja inatoa kati ya gunia 10-15. Lets make 12/eka=120 Kuuza hadi kufikia December bei yake ni hadi elf 75.Lakini we uza kwa mwezi wa 9 ili ujiandae kukodisha tena bei ni kati ya elf 50-55 .Uza kwa elf 50
Mauzo
Idadi bei@ Jumla kuu
120x 50,000 =6,000,000
Mauzo-Gharama = Faida
6,000,000 - 1,767,000 =4,233,000
Sasa rudi tena shambani kafanye eka 30.Mavuno yake ukakamue mafuta,utauza mafuta,mashudu,na mafuta ghafi-ingawa hayana bei sana haya crude oil.
Pia kuna watu wanauza mimea ikiwa shambani,amepanda amepalilia afu mnafanya tathimini unanunua,Wakulima wengine wanauza gunia kwa elf 25 ikiwa shambani akivuna anakulipa(Sisi tunaita tunatoa advance)
Mengine unaweza kulima vitunguu ila ukishakuwa mwenyeji hapa ndio patamu zaidi,japo risk ni kubwa sana,ila ukifanikiwa baasi,Utalima mahindi pia.
Risks zake zaweza kuwa,ni mda mrefu tangu umepanda hadi kuvuna, Kukodishiwa eka 1 watu wawili-Hapa dawa yake ni mfanye kwa maandishi,Wadada wazuri na watajitaidi kwa kila namna akumiliki ata kwa kutumia miundo mbinu-Ila itakuwa ni uzembe wako,Mvua kuchelewa n.k
Ufugaji wa kuku ,tutafuga chotara,kwa vile wanakuwa haraka,pia watu wa huku hawapendi wa kisasa wanaamini huwa wanakuzwa kwa dawa,wanaume wakila wanaota matiti.
Mchanganuo wake tutafanya siku tukionana kijijini.
UKO VIZURI MKUU, MI NIKO KINAMPANDA- IRAMBA, NILIANZA MWAKA JANA. HIVI SASA NAELEKEA KUVUNA. JAPO NILIANZA NA ENEO DOGO NA NINATEGEMEA KUONGEZA WIGO MWAKA HUU NA KUENDELEA POLE POLE.Kwa Singida utategemea kilimo cha mvua sana sana,ila utalima Alizeti hiyo ni simple sana,Nenda Singida Vijijini has kule pembeni kabisa karibu na Wilaya ya Hanang (mf.Kijiji kimoja kinaitwa Ngamu saa mbili hadi Singida town) ardhi iko na rutuba. Utaanza kukaa kijiweni kuna umeme utakodisha nyumba elf 15-30 kuna umeme,na huduma zingine za kijamii zipo.
Utakodisha sijui ni eka ngapi lakini ni vizuri ukaanza na eka 10-20. Bei yake ni rafiki kuanzia kukodisha hadi kulima
Mfano wa mchanganuo wa eka 10 katika alizeti.
Kukodisha ni elf 50-100 inategemeana na majira na anayekodisha ana changamoto kiasi gani ,Tufanye wastan elf 80/eka
so
Kukodisha
Tsh 8,0000 x eka 10=800,000. Kukodisha ,bei iko very flexible itategemeana na wewe.
Tsh 40,000x 10=400,000 hapa ni Kulima kwa ajjili ya kuweka mbegu/Kupanda.hiyo ni bei ya trekta ya ng'ombe ni elf 30.
Tsh 5,000 x 10=50,000 hiyo ni mbegu ya kienyeji nyeupe( sisi tunaita serena) inatoa ukiamua kukamua mafuta.
Tsh 30,000x10=300,000 hii ni palizi kumbuka alizeti ina palizi moja tu.
Tsh 5,000x10=50,000 hapa ni kukata kwa ajili ya kupiga piga
Tsh 20,000x1= 20,000 kukusanya toka shambani hadi sehem utakayo pigapiga.(sisi tunaita kupura) kwa eka zote.
Tsh 20,000x1 =20,000 kupiga(Kupura) na kupepeta-kwanza hapa we fanya hiyo kazi ni rahisi sana.
Tsh 5,000x1 =5,000 Uzi wa kushonea pamoja na Sindano
Tsh 600x 120(idadi ya gunia) =72,000 hii ni mifuko ya kuhifadhia.Japo ukipata safari ya Arusha utapata kwa tsh 300.
Tsh tufanye 50000 kodisha sehem ya kuhifadhia,japo unaweza kuhifadhi bure au ukaweka hapo nje ka nyumba ina geti.
Jumla kuu =(1,767,000) au
Eka moja inatoa kati ya gunia 10-15. Lets make 12/eka=120 Kuuza hadi kufikia December bei yake ni hadi elf 75.Lakini we uza kwa mwezi wa 9 ili ujiandae kukodisha tena bei ni kati ya elf 50-55 .Uza kwa elf 50
Mauzo
Idadi bei@ Jumla kuu
120x 50,000 =6,000,000
Mauzo-Gharama = Faida
6,000,000 - 1,767,000 =4,233,000
Sasa rudi tena shambani kafanye eka 30.Mavuno yake ukakamue mafuta,utauza mafuta,mashudu,na mafuta ghafi-ingawa hayana bei sana haya crude oil.
Pia kuna watu wanauza mimea ikiwa shambani,amepanda amepalilia afu mnafanya tathimini unanunua,Wakulima wengine wanauza gunia kwa elf 25 ikiwa shambani akivuna anakulipa(Sisi tunaita tunatoa advance)
Mengine unaweza kulima vitunguu ila ukishakuwa mwenyeji hapa ndio patamu zaidi,japo risk ni kubwa sana,ila ukifanikiwa baasi,Utalima mahindi pia.
Risks zake zaweza kuwa,ni mda mrefu tangu umepanda hadi kuvuna, Kukodishiwa eka 1 watu wawili-Hapa dawa yake ni mfanye kwa maandishi,Wadada wazuri na watajitaidi kwa kila namna akumiliki ata kwa kutumia miundo mbinu-Ila itakuwa ni uzembe wako,Mvua kuchelewa n.k
Ufugaji wa kuku ,tutafuga chotara,kwa vile wanakuwa haraka,pia watu wa huku hawapendi wa kisasa wanaamini huwa wanakuzwa kwa dawa,wanaume wakila wanaota matiti.
Mchanganuo wake tutafanya siku tukionana kijijini.
DAH MKUU ULIPATA ENEO KWA SHILINGI NGAPIUKO VIZURI MKUU, MI NIKO KINAMPANDA- IRAMBA, NILIANZA MWAKA JANA. HIVI SASA NAELEKEA KUVUNA. JAPO NILIANZA NA ENEO DOGO NA NINATEGEMEA KUONGEZA WIGO MWAKA HUU NA KUENDELEA POLE POLE.