Tumia AKILI hata za kuku naona Mada umerukia kwa mbele kwani kuna Mtu anataka Viti maalumu waende WANAUME? au Ubongo umechotwa Wote View attachment 2119530
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna taratibu na sheria za kwenda huko bungeni na chama ndicho kinatakiwa kufanya huo mchakato na sio taasisi nyingine ifanye kwa niaba ya chama flani.
Endelea kujifanya huelewi tuu, acheni kutumia polisiUongo waitishe mkutano mkuu hata kesho hakuna wa kupinga sio msajili wala yeyote
Toeni notice magazetini au radioni au TV kuwa MNA general meeting muone kama kuna mpingaji
Uchaguzi ulikuwa wizi mtupu hata mwehu anajua hiloWhy chama kinagomea nafasi ambayo ni haki Yao? Kama hawataki nafasi yoyote then why walipeleka watu kugombea ubunge
Wewe unapindisha maneno ya Msekwa; yeye alisema kinadharia kuwa iwapo walifukuzwa uanachama (na ikathibitika kwa tume ya uchaguzi kuhusu kufukuzwa huko), basi hawana uhalali wa kuwepo Bungeni kwa mujibu wa katiba. Aliposema hivyo yeye hakuwa na documents zinazothibitiiha kuwa kweli walishafukuzwa uanachama. Hizo longolongo za Mnyika mbele ya waandishi kutafuta attention siyo zinazoongoza tume ya uchaguzi na Bunge.Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.
Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma
- Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu ( 01/02/2022)
- Mzee Msekwa: Wabunge 19 hawana uhalali kuwepo Bungeni, anayebisha aende mahakamani (08/01/2022)
- Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile (01/11/2021)
- Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge ( 28/11/2020 )
- Spika Mstaafu Msekwa awapongeza CHADEMA kwa kuwafukuza uanachama wabunge waliokwenda kinyume na taratibu zao ( 18/05/2020)
- Kati ya Spika mstaafu Msekwa na Halima Mdee nani yuko sahihi juu ya uhalali wa Wabunge 19 wa CHADEMA?
- Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!
Hiyo " iwapo" kila mtanzania anajua!Wewe unapindisha maneno ya Msekwa; yeye alisema kinadharia kuwa iwapo walifukuzwa uanachama (na ikathibitika kwa tume ya uchaguzi kuhusu kufukuzwa huko), basi hawana uhalali wa kuwepo Bungeni kwa mujibu wa katiba. Aliposema hivyo yeye hakuwa na documents zinazothibitiiha kuwa kweli walishafukuzwa uanachama. Hizo longolongo za Mnyika mbele ya waandishi kutafuta attention siyo zinazoongoza tume ya uchaguzi na Bunge.
Walifukuzwa na kigenge cha watu wachache wanaojiita kamati kuu akina Mdee wakapinga kufukuzwa huko wakapeleka rufaa baraza kuu hadi Leo baraza kuu halijakaa
Tulia mwenyewe siyo halali kuwa bungeniMzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.
Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma
- Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu ( 01/02/2022)
- Mzee Msekwa: Wabunge 19 hawana uhalali kuwepo Bungeni, anayebisha aende mahakamani (08/01/2022)
- Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile (01/11/2021)
- Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge ( 28/11/2020 )
- Spika Mstaafu Msekwa awapongeza CHADEMA kwa kuwafukuza uanachama wabunge waliokwenda kinyume na taratibu zao ( 18/05/2020)
- Kati ya Spika mstaafu Msekwa na Halima Mdee nani yuko sahihi juu ya uhalali wa Wabunge 19 wa CHADEMA?
- Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!
We inaijua katiba ya CHADEMA kuliko CHADEMA wenyewe? shame on youWalifukuzwa na kigenge cha watu wachache wanaojiita kamati kuu akina Mdee wakapinga kufukuzwa huko wakapeleka rufaa baraza kuu hadi Leo baraza kuu halijakaa
Katiba ya Chadema imeweka wazi taratibu za MTU kufukuzwa uanachama kuwa process itakamilika mkutano mkuu .Swala LA akina Mdee process haijakamilika.Baraza kuu halijakaa kuridhia na mkutano mkuu haujakaa kuridhia in mpaka hapo baraza kuu na mkutano mkuu utakapokutana na kuridhia ndipo wale watahesabika wamefukuzwa uanachama
Nenda kasome katiba ya chadema kuhusu kazi za baraza kuu na mkutano mkuu
Hiyo barua waulizwa covidMmoja anaweza nisaidia barua ya chadema ikionesha wamefukuzwa chamani.
Pia angesaidia kuonesha maamuzi ya rufaa waliyokataa hado wabunge 19
Hi kitu inaonesha kama chama pia wamekubiliana nayo.
Watz siyo maamuma kama mnavyofikiria ipo siku tena haiko mbali kama mnavyofikiria mtawaelewa ni watu wa aina gani.Vile ni viti maalum halali Kwa chama cha chadema na waliokwenda walikuwa ni wanawake wa chadema sasa shida yako nn?
Watz siyo maamuma kama mnavyofikiria ipo siku tena haiko mbali kama mnavyofikiria mtawaelewa ni watu wa aina gani.
Pamoja na kuwa sababu zinajulikana lakini suala ni irrelevant, la muhimu ni kuwa wameshafukuzwa uanachama hivyo si wanachama wa CHADEMA regardless the reasons zilizowafukuzisha.Mbona hamjadili sababu ya wao kufukuzwa?
Na kwa heshima yake, pale Law School of Tanzania, kuna ukumbi unaitwa Pius Msekwa
nani kakwambia chama kimegomea nafasi kwani lazima hao kina kovid ndio waende chadema kuna wanawake wengine zaidi ya hao kovidWhy chama kinagomea nafasi ambayo ni haki Yao? Kama hawataki nafasi yoyote then why walipeleka watu kugombea ubunge
nani kakwambia chama kimegomea nafasi kwani lazima hao kina kovid ndio waende chadema kuna wanawake wengine zaidi ya hao kovid
wewe mpumbavu kuna utaratibu wa kuteua wabunge kwenda kuwailisa viti maalumu kupitia vikao vya bawacha, nyie maccm vipi hamjirekebishi tu pamoja na TWAWEZA kuwaambia ukweli kwamba ni mapumbavuAaah so ishu sio kupokea nafasi ishu ni Nani ameenda okayy, Yan ww sasa ndio umetufungua,
Kumbe ni kweli mlitaka kupeleka madem zenu na wake wa viongozi wenu
Hiyo ndio sababu ndugai aliwaacha covid