Kati ya Spika Ndugai, Balile na Gavana Luoga nani mkweli kuhusu deni la taifa?

Bottomline is tunadaiwa tena fedha nyingi pasipo na sababu za msingi.

Kama tusingekuwa na Rasilimali ingekua sahihi ,

Tunakopa ili kufurahisha taasisi za mabeberu ambayo hayataki tuwe na uwezo wa kujitegemea.
Leo umekuwa mkosoaji(mpinzani) haaa.
 
Balile alikuwa yupo sahihi lakinj deni la nje sio trillion 78, Bali hiyo ni jumla na ya Deni la ndani.
Na pia Sasa hivi Deni ni trillion 82
Pia Magufuli aliacha Deni likiwa trillion 71
Hahahaaaa hujaulizwa magufuli aliacha deni gani bwashee huo umagufuli utawatoka lini ? Yaan mnataka kutulazimisha wote kwamba maguful alikuwa mtu safi wakati ndiye rais wajabu na shetan kuliko marais wote ambao tanzania imewahi kuwanao ndio maana wafuasi wake mna kazi ya kumsafisha huku
 
Acha kumuweka Ndugai maneno hakudema ni exactly 70T bali alisema ni karibu 70T.
Usichanganye lugha.
 
Luoga kaongea asilimia ya tulichokopa wakati Balile na Ndugai wametaja kiasi halisi. Ukweli ni kwamba hata kama ni asilimia 28 bado kiwangi tulichokopa ni kikubwa mno. Hicho kiwango tumepewa na wazungu ili tukope sana watukamue. Ndugai hata kama katofautiana kidogo na Balile lakini takwimu zao zinashabihiana,70 ma 78 siyo mbali sana.
 
Ccm ni genge la kihuni usimwamini kabisa yeyote... Kazi yao lubwa ni kwa pamoja kucheza na akili za watz kwa maslahi yao binafsi hakuna kingine
 
Hivi ile Sheria ya Takwimu hapa haifanyi kazi?
 
Hivi ile Sheria ya Takwimu hapa haifanyi kazi?
Si wanaharakati, wapinzani, media, watafiti na wafadhili waliungana kuichagiza serikali iipunguzie makali sheria ya takwimu waliyoiita kandamizi. Mimi ninaamini correct information is power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…