Kati ya Subaru Forester and Toyota GX100 ipi ni mnyama barabarani?

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Jamani naomben kujua, btn subaru forester and toyota gx100 ..ipi ni mnyama barabarani?

Picha: Subaru Forester

Picha: Toyota GX100
 
Achana na jiko la Subaru mkuu, hiyo habari nyingine kabisa.
 
GX10o kwa Subaru kweli Subaru ipo juu but mwanaume wa wanaume road ni Altezza Kama unataka ligi na kufa barabarani mdomo wazi........ Hata v8 ikikaa vibaya itaona vumbi.
 
Mkuu next time usijaribu kulinganisha GX 100 na subaru aisee. Hivyo ni vitu viwili tofaut kabisa aisee.

Pitia kwanza historia ya subaru (aim ya kiwanda ilikuwa kutengeneza ndege) sasa vuta picha wao wakatengeneza gari. Hapo ni subaru zote from impreza. forestr,legacy and wrx zote mwendo tuu kaka toyota haoni ndani hapo.
 
GX10o kwa Subaru kweli Subaru ipo juu but mwanaume wa wanaume road ni Altezza Kama unataka ligi na kufa barabarani mdomo wazi........ Hata v8 ikikaa vibaya itaona vumbi.

Alteza ipo vizuri road?
 
Mkuu hivi rally A-town zimepotelea wapi? nakumbuka kila nanenane kulikuwa na rally.. Navraj Hans alikuwa anapeperusha bendera ya Arusha vilivyo akiwa na subaru imprezza..

mkuu umenikumbusha mbali sana sana sana Hans was my favourate,nilikuwa napenda kukaa kipleft cha florida nimuone anvyoshuka kutoka mianzini akipambana na kina shamsi, lukumay na wengine.siku hizi hakuna burudani tubaki kunywa pombe,wanawake na kuangalia porno so saad!hapo ndipo nilipoipenda na kijua subaru.
 
Hizo gari zote hazifiki kwa nissan primera sport

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
GX10o kwa Subaru kweli Subaru ipo juu but mwanaume wa wanaume road ni Altezza Kama unataka ligi na kufa barabarani mdomo wazi........ Hata v8 ikikaa vibaya itaona vumbi.

Bado kaka, Subaru jembe lingine! wenzio walishajarb hiyo league kitambo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…