Kati ya Subaru Forester and Toyota GX100 ipi ni mnyama barabarani?

Nina kaugonjwa ka'kupenda magari ya mashindano mpaka wakati mwingine natamani kuifanyia manuva hii Toyota Altezza iwe na mlio na performance kama hayo magari.

Jamani kwani hii Subaru Impreza WRX STI ni inauzwaje kama ukiagiza toka nje na gharama zake mpaka inaingia barabarani?
 
CYBERTEQ mwanachama mwingine huyo msaidie......
 
Nina kaugonjwa ka'kupenda magari ya mashindano mpaka wakati mwingine natamani kuifanyia manuva hii Toyota Altezza iwe na mlio na performance kama hayo magari.

Jamani kwani hii Subaru Impreza WRX STI ni inauzwaje kama ukiagiza toka nje na gharama zake mpaka inaingia barabarani?

m-PM CYBERTEQ.
 
Kama lengo lako ni mlio tu siyo ishu sana, unaweza kufunga muffler nyenye mlio mkubwa, lakini kama unahitaji perfomance andaa mfuko wa kushiba. Kuna WRX mbili zipo for sale, nyekundu na ya blue hazijatumika bongo, kama uko interested niinbox nikuunganishe na owner!
 
Nina kaugonjwa ka'kupenda magari ya mashindano mpaka wakati mwingine natamani kuifanyia manuva hii Toyota Altezza iwe na mlio na performance kama hayo magari.

Jamani kwani hii Subaru Impreza WRX STI ni inauzwaje kama ukiagiza toka nje na gharama zake mpaka inaingia barabarani?

Inategemea ni ya mwaka gani, lakin around 23.5M unaiendesha barabarani!
 
i know....thats why kuna gari ina cc 2000[impreza] inakimbia na ina nguvu kuliko gari nyingi zenye cc zaidi 2000....its all down to fuel/air mixture[intake,hapa ndipo turbo magic inapoonekana],pia weight to power ratio then mambo mengine.

UKO SAWA kaka I appreciate the knotion of yours

These are our toys (men) thus we need to discuss them such that we end up having the good ones for the better of our plays on the road
 
Jamani naomben kujua,btn subaru forester and toyota gx100 ..ipi ni mnyama barabarani??

Subaru ni gari makini kwa watu makini wanaojali ubora wa gari na safari zao pia.
Spea za kumwaga kwa sasa siyo tatizo. Wese ndo kazi kwako. Kama unategemea wese la mawazo kidumu cha lita 5 ndani ya gari sahau kabisa juu ya Subaru. Itakufilisi.
XT zinatembea sana kuliko X20 kwa sababu tofauti ni turbo. Na gari yenye turbo inakamua wese bila hiana wala bajeti.
 
hio subaru forester ni noma kulinganisha na gari mlizoendesha,kuna magari hio subaru inapitwa kama imesimama...

subaru forester:
-engine size 1994cc
-0-100km/h 8.4sec
-top speed 180km/hr

sasa linganisha na magari ya kawaida tu hapo chini

vw golf gti
-engine size 2000cc
-0-100km/h 7.7
-top speed 240km/h[i can assure you,inamaliza huu mwendo]

bmw m3
-engine size 3000cc
-0-100km/h 4.8sec
-top speed 260km/h[2008-present model top speed ni 320km/h]

volvo s60T
-engine size 2000cc
-0-100km/h 8.5sec
-top speed 240km/h

bmw 523i
-engine size 2500cc
-0-100km 7.9sec
-top speed 260km/hr

gari ya subaru inayoweza kuyaacha magari ya hapo juu ni SUBARU IMPREZA TURBO UK SPECIFICATION[siyo ya japan coz ina top speed 180km/h

WRX STI
-engine size 2000cc
-0-100km/hr 5.3sec
-top speed 260km/h

WR1 STI
-engine size 2000cc
-0-100km/h 4.1sec
-top speed 260km/h

Naendesha moja ya european cars hapo juu subaru forester zote za bongo hazinisumbui hata kidogo,highway au kitaa,....machine yangu inakwenda 155MPH ambayo ni around 260km/h........

Kuna kitu umesahau engine pulling mkuu na gear shifting hizo ndo zindetermine speed ya gari. Na sio km/hr pekee.
 
UKO SAWA kaka I appreciate the knotion of yours

These are our toys (men) thus we need to discuss them such that we end up having the good ones for the better of our plays on the road

i think we should have our special "PETROLHEADS FORUM" hapa JF

cc:CYBERTEQ,Invisible
 
Mkuu unameleta vitu viwili tofauti ktk ulimwengu wa magari,subaru ina mikono ya watu wawili ktk utengenezaji yaani Mjapani na Mwingereza wakati Gx 100 ni Mjapani peke yake,yaani Gx 100 haikuti Subaru labda huyo anaendesha subaru awe anasinzia Mark X kidogo inanafuu kwa Subaru
Jamani naomben kujua,btn subaru forester and toyota gx100 ..ipi ni mnyama barabarani??
 
Kuna kitu umesahau engine pulling mkuu na gear shifting hizo ndo zindetermine speed ya gari. Na sio km/hr pekee.

hizi zinadetermine accelaration ya 0-100km/hr ambazo ni few meters only.....after that max speed,power ya gari matters[refer USAIN BOLT,first 50M he is not fastest,but after 50M he is the fastest man in 100/200M]
km/hr matters simply because 180km/hr is way slower than 260km/hr.
 
i think we should have our special "PETROLHEADS FORUM" hapa JF

cc:CYBERTEQ,Invisible

There you go, a lotta ppo keeps asking on these avenues (cars)daily....will be nice to have our own place to discuss from car polishing to nozzle service and normal vs alfin pistons!!!!!!

Cc; All MODS
 
Nakuunga mkono wamezoea kuendesha gari zenye body kama karatasi yaani magari ya Mjapani wajaribu gari nzito za ulaya waone shughuli iliyopo barabarani
tatizo la watu wengi walikuwa wanaendesha toyota/nissan then wanaingia kwenye subaru wanaona ndio mwisho,jaribuni bmw/vw golf/merc amg/volvo/jaguar muone 240km/hr ikoje......ila SUBARU IMPREZA WRX STI UK SPEC naivulia kofia,sio subaru za kubandika badge za WRX STI zilizojaa bongo.
 
Baada ya kifo kile ndipo familia iliamua kujitoa kwenye mashindano ya magari na kuwekeza ktk soka mkuu hapo ndipo mashindano ya magari yakaanza kufifia
Kipindi kile mimi pia nilikua mpenzi sana na Rally, nakumbuka Baba D, Papa king walikua wanamajina sana kwa upande wa watu weusi ukiwatoa wahindi na waarabu kwenye rally Arusha, binafsi nakumbuka nilikua nahakikisha hakuna rally inanipita Arusha.. Naamini kabisa kifo cha Omary Bhakresa kule Zanzibar akiwa na Subaru N12 mpya kabisa kipindi kile kimepelekea kupotea kwa Rally country-wise.. kuna rally Bhakressa na team yake alikuja A-town kwenye rally wakaja na Hummer na rally ilivyokwisha wakapakiza hummer yao kwenye "semi" wakarudi dar.. I miss rally i used to be a great fan..
 
Nakuunga mkono wamezoea kuendesha gari zenye body kama karatasi yaani magari ya Mjapani wajaribu gari nzito za ulaya waone shughuli iliyopo barabarani

Hauko sawa sana mkuu hata huko si kuna ma lamborghin,rols royce,ferrari na mengine ambayo kwa speed na bei ni nusu ya ndege so sisi ambao kidogo tuna upeo wa haya machuma tuwasaidie wenzetu au kistaarabu zaid tuchangie mawazo ili kila mtu apate the best out of his/her money worth basing on context

As kuna gari kama Lexus ni Japanese lakini ni habari tofauti kulinganisha na series nyingi tu za Ulaya

Knowledge,cash and context counts a lot when one heads into having a nice ride
 
Ni kweli usemacho ili inaudhi pale mtu anashupalia gari fulani ina mwendo kuliko gari nyingine wakati hajawahi kuendesha hiyo gari ya upande wa pili hapa issue ni kuelekezana hata mm ni mgeni sana wa magari ila bahati nzuri haya magari waliyoyashindanisha yote nimeendesha
Hauko sawa sana mkuu hata huko si kuna ma lamborghin,rols royce,ferrari na mengine ambayo kwa speed na bei ni nusu ya ndege so sisi ambao kidogo tuna upeo wa haya machuma tuwasaidie wenzetu au kistaarabu zaid tuchangie mawazo ili kila mtu apate the best out of his/her money worth basing on context

As kuna gari kama Lexus ni Japanese lakini ni habari tofauti kulinganisha na series nyingi tu za Ulaya

Knowledge,cash and context counts a lot when one heads into having a nice ride
 
Hauko sawa sana mkuu hata huko si kuna ma lamborghin,rols royce,ferrari na mengine ambayo kwa speed na bei ni nusu ya ndege so sisi ambao kidogo tuna upeo wa haya machuma tuwasaidie wenzetu au kistaarabu zaid tuchangie mawazo ili kila mtu apate the best out of his/her money worth basing on context

As kuna gari kama Lexus ni Japanese lakini ni habari tofauti kulinganisha na series nyingi tu za Ulaya

Knowledge,cash and context counts a lot when one heads into having a nice ride

Lexus special for EUROPE na US market[sina maana kuwa japan hakuna] eg LEXUS IS200[JDM ALTEZZA],LEXUS RX300[JDM HARRIER].
Kuna toyota,honda,mazda zinatengezwa Europe ni nzuri sana,halafu hata hayo magari ya europe golf,bmw,volvo hayana bei ya kutisha....hizo ferrari,lambo tuwaachie akina bakhresa.
hapa umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom