TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 871
Poa mkuu, bado kuna kitu unasahau gear shifting na driver confidence then tena unasahau pulling ya gari. kuwa na 260KPH[160MPH sio kigezo cha pulling ya gari mkuu. thats why unaona kila mwaka SUBARU IMPREZA ina beat kwa sana.
Naweza kukuwekea GT 500 SHELBY yenye CC 2000 but limited to USA SPECS 180KPH[113MPH], still utaona vumbi tuu .
ndugu yangu,sidhani kama ni mgumu wa kuelewa au umeamua kubisha tu....pulling ya gari inatokana na nguvu ya gari....nguvu ya gari inatokana na ukubwa wa engine na few modification kama kuweka TURBO/SUPERCHARGER...sasa wewe na kigari chako cha cc1490 mimi nina 2500cc na ina TURBO mbona unataka kuchekesha.....nimekuelewesha SUBARU WRX zina turbo na ndio maana zina nguvu pmoja na kuwa na cc200 btw SUBARU zinatofautiana WRX zipo kuanzia BHP 160-350[kama unaelwa BHP] im 100% sure kati yenu hamna mwenye WRX yenye BHP 350....wote mnazo znye BHP 160-250 TU.....cha mwisho USA hawajui kutengeneza gari.....zaidi ya BIG SPACE na KULA MAFUTA HAMNA KITU,umesikia wapi racing car ya marekani???