OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Nakusoma kaka mkubwa ila tusonge nao mdomdo si unajua hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kama ombi la kuanzishiwa jukwaa maalim litapitishwa the kila mmoja wetu atachangia kidogo mwisho wa siku tutakuwa happy and knowledgeble on roadsNi kweli usemacho ili inaudhi pale mtu anashupalia gari fulani ina mwendo kuliko gari nyingine wakati hajawahi kuendesha hiyo gari ya upande wa pili hapa issue ni kuelekezana hata mm ni mgeni sana wa magari ila bahati nzuri haya magari waliyoyashindanisha yote nimeendesha
