huwa naziona...kuna wahindi wachache wanazo latest model kabisa.....so what do exactly tune???fixing huge spoiler??[/QUOTE]
Hahahhaa, hapana mkuu!
Mkuu, tuning ni somo refu na linainvolve mambo mengi kutegemea na mtu anataka kuachieve kiasi gani, kiukweli engeneer anaweza kufanya mambo mengi sana kwenye gari yako kuimprove perfomance, limit ni mfuko wako tu. Kuanzia kwenye kubadili stock parts kuweka high tech racing parts ambazo kikawaida ni expensive. Kuanzia kwenye Air intake, exhaust system, racing tyres, turbo kubwa zaidi mpaka kwenye engine reprogramming! Ndiyo maana unakuta mtu anaingia kwenye race na gari model ya nyuma kabsa anashindana na watu wenye mashine za kisasa!