Kati ya Subaru Forester and Toyota GX100 ipi ni mnyama barabarani?

Kwa kweli vita vya tembo nyasi ndo huumia,,sie wengine twajifunza sanaah hapa me naomba kujuzwa swala moja tu hapa especially kwa wale tunaokaa Arusha watoto wa kihindi wanatusumbuaga sanah na forester zao sa mie napenda kujua huwa wanazifanya nini zinakuwa zinatoa ule mlio wa racing cars na zinakuwa kama 'zinacheua' wanapo kanyaga mafuta na kuachia(waliopo Arusha wataelewa hapa) na je kama naweza funga hivyo vifaa kwa my Suzuki Escudo,
Thanx Sanah
 
mkuu,kuhusu mlio wa racing sound/unique subaru kuna sababu kuu mbili[nijuavyo,mwingine ataongeza]
1.subaru zina flat 4-cylinder [boxer engine]-maanake ni kuwa engine ya subaru ina pistons 4 ambazo ziko 2 kila upande horizontally opposing each other like boxer hence boxer engine(gari za kawaida zina in-line 4 cylinder maanake nne zinafuatana
2.kwasababu ya muundo huu wa engine,subaru nyingi zinatoa huo mlio wa race car kwa sababu zina unequal length header[exhaust manifold zake za upande mmoja ndefu upande mwingine fupi]....gari za kawaida zina equal length manifold....kuna subaru zina equal length header so hazilii kama race car

hapa ni kama nimetoa definition tu otherwise explaination itachukua ukurasa mzima......
 
Mkuu itabidi ufungue thread yake, maana hapo naona **€$¿ (cjaelewa).
 
Wakuu... 2015 sasa... vipi bado hatujapata ufumbuzi..??
 
Nina idea moja ambayo kama serikali ikiamua kuifanyia kazi
a. Itainua jina la Utalii wetu
b. Itaingiza fedha za kigeni kuliko mahali popote Afrika
c. Na itaifanya Tanzania kuwa katika hadhi ya pekee yake kila watu wanapozungumzia utalii duniani.

I would like though to patent it. Sijawahi kuisikia mahali popote, haipo katika sera zetu za utalii, na siyo mawazo ya mtu mwingine (I didn't plagiarize). How can a Tanzanian patent an idea that will affect the tourism industry and earn him some good money?

Can I patent an Idea in US that will affect another foreign country? I'm willing to share that idea with someone who knows architecture, drawing, and marketing.....Believe me, once you hear it, It'll blow you mind!!!!!!

Mkuu ulikutana na learner wa barabarani, achana na habari ya Subaru ni nyingine
 
Kwa kweli vita vya tembo nyasi ndo huumia,,sie wengine twajifunza sanaah hapa me naomba kujuzwa swala moja tu hapa especially kwa wale tunaokaa Arusha watoto wa kihindi wanatusumbuaga sanah na forester zao sa mie napenda kujua huwa wanazifanya nini zinakuwa zinatoa ule mlio wa racing cars na zinakuwa kama 'zinacheua' wanapo kanyaga mafuta na kuachia(waliopo Arusha wataelewa hapa) na je kama naweza funga hivyo vifaa kwa my Suzuki Escudo,
Thanx Sanah

hcho ktu me pia najiulzaga ni nn na kwnn wakikanyaga mafuta wakiachia kuna mlio unatoka ila cjawah pata jibu
 
Huu Uzi ulikuwa mtamu sana...Wadau mbona uzi umeishia njiani....issue ya uzi SAFARI RALLY umeishia wapi?
 
Ila watu wengi wananunua subaru sababu subaru ni bei rahisi ila mbabe wa subaru ni mitsubishi evolution ukipata evo vii au viii subaru inakaa kabisa na kuhusu vile vimilio ni modifications tu za hapa na pale sports car nyingi zinaweza fanywa hivo i.e nissan skyline r34 au r35 kuongezea muffler maana niliwahi ona watu wamepimp starlet inakimbia hatari aiseeee....
 
Evo 10 ndio habari ya mujini....
 
Kwa kweli vita vya tembo nyasi ndo huumia,,sie wengine twajifunza sanaah hapa me naomba kujuzwa swala moja tu hapa especially kwa wale tunaokaa Arusha watoto wa kihindi wanatusumbuaga sanah na forester zao sa mie napenda kujua huwa wanazifanya nini zinakuwa zinatoa ule mlio wa racing cars na zinakuwa kama 'zinacheua' wanapo kanyaga mafuta na kuachia(waliopo Arusha wataelewa hapa) na je kama naweza funga hivyo vifaa kwa my Suzuki Escudo,
Thanx Sanah

hcho ktu me pia najiulzaga ni nn na kwnn wakikanyaga mafuta wakiachia kuna mlio unatoka ila cjawah pata jibu

Wanafunga kitu kinaitwa BLOW OFF VALVE.....inasaidia kupunguza mzigo wa pressure kwenye TURBO CHARGER. nI long topic and complicated ila hio valve ikitoa hewa nje ndio unasikia huo mlio kama chafya

Nimejaribu kukopi kidogo kutoka wikipedia soma hapo chini

A blowoff valve (BOV), dump valve or compressor bypass valve (CBV) is a pressure release system present in most turbocharged engines. Its purpose is to prevent compressor surge, and reduce wear on the turbocharger and engine. These valves relieve the damaging effects of compressor "surge loading" by allowing the compressed air to vent to the atmosphere (BOV case), making a distinct hissing sound, or recirculate into the intake upstream of the compressor inlet (CBV case).
 
ataweza kufunga BOV kwenye suzuki yake kama atamount turbo.... au afunge Electric BOV ambayo haihusiani na performance.... itakua inatoa tu mlio
 
hio subaru forester ni noma kulinganisha na gari mlizoendesha,kuna magari hio subaru inapitwa kama imesimama...

subaru forester:
-engine size 1994cc
-0-100km/h 8.4sec
-top speed 180km/hr

sasa linganisha na magari ya kawaida tu hapo chini

vw golf gti
-engine size 2000cc
-0-100km/h 7.7
-top speed 240km/h[i can assure you,inamaliza huu mwendo]

bmw m3
-engine size 3000cc
-0-100km/h 4.8sec
-top speed 260km/h[2008-present model top speed ni 320km/h]

volvo s60T
-engine size 2000cc
-0-100km/h 8.5sec
-top speed 240km/h

bmw 523i
-engine size 2500cc
-0-100km 7.9sec
-top speed 260km/hr

gari ya subaru inayoweza kuyaacha magari ya hapo juu ni SUBARU IMPREZA TURBO UK SPECIFICATION[siyo ya japan coz ina top speed 180km/h

WRX STI
-engine size 2000cc
-0-100km/hr 5.3sec
-top speed 260km/h

WR1 STI
-engine size 2000cc
-0-100km/h 4.1sec
-top speed 260km/h

Naendesha moja ya european cars hapo juu subaru forester zote za bongo hazinisumbui hata kidogo,highway au kitaa,....machine yangu inakwenda 155MPH ambayo ni around 260km/h.....

subaru forester STI 350hp inaacha yote hayo
 
Back
Top Bottom