Kati ya Subaru Forester and Toyota GX100 ipi ni mnyama barabarani?

kumbe ndio maana unatetea sana.....haya kaka wewe na mwenzako CYBERTEQ tafadhali msigeuze mitaa yetu race track....tunawaona mitaa na subaru zenu oohoooooo.....

Kama unapenda magari bila kuwa na subaru hujakamilika. Juzi tuu nimeingiza IMPREZA SPORTS WAGON ya 2005 model ni GG3 AWD. CC 1490 but uliza mwendo wake? Hii ni beat ya Carina,Corona, GX series, HARRIER, ALTEZZA etc, Ila mie sio mpenz wa Toyota Cars ndo maana unaona nayajua haya mengine vizuri hasa HONDA na SUBARU.

Kwa hapa DAR hakuna sehemu utayoendesha WRX kwa raha foleni kila kona alafu hatuna special roads.
 
kweli "sijakamilika" coz sina subaru......but i've got a beast which can make rings around your subaru.......
 
Hahhahahhahah, mkuu labda tutafute trip siku moja kaka ya kwenda Dodoma tuu. Sema hawa traffic wa barabarani watatugeuza chakula chao. Mkuu kumbuka tena gari nalo ili likimbie inategemea na dereva ni mtundu vp.
Huwa naamini gari itayoweza ku beat ni GT 500 SHELBY series yoyote. OR NISSAN GTR ya 2010.

Nipe jina la kitu chako coz kila mjanja ana mjanja mwenzie.
 
Nakubaliana na ww mkuu alteza bado xana!! maana Ata fielder inafukuzia...

sasa mkuu hizi alteza, fielder, vtz, gx 100, gx 110 etc wote watoto tu kwa subaru mkuu
 
Hahhahahhahah, mkuu labda tutafute trip siku moja kaka ya kwenda Dodoma tuu. Sema hawa traffic wa barabarani watatugeuza chakula chao. Mkuu kumbuka tena gari nalo ili likimbie inategemea na dereva ni mtundu vp.
Huwa naamini gari itayoweza ku beat ni GT 500 SHELBY series yoyote. OR NISSAN GTR ya 2010.

Nipe jina la kitu chako coz kila mjanja ana mjanja mwenzie.

kitu kimoja unasahau au hujui,SUBARU IMPREZA ni nzuri kwenye bend,twist and turns[na ndio rally zinapofanyika]....sio kwenye straight line,na njia ya dodoma imenyooka utanitangulia 200m tu then nitakupita kama umesimama.....hio SUBARU yako ni 180km/hr,unajua maana yake???IT IS ELECTRONICALLY LIMITED TO 180KPH[113MPH].....mimi nina gari EUROPEAN MAKE 2500CC GT SPORT COUPE inakwenda 260KPH[160MPH] utatangulia ila nitakupita tu baada ya umbali mfupi sana......
 
Mkuu hapo umeua kabisaaaa
 
Dodoma kote kutafuta nini, kama mko serious tutafute barabara ambayo haina magari mmalize ubishi, hata km5 tu zinatosha. Wanaume huwa hawabishani kwa maneno, VITENDO.
 
kiboko ya SUBARU......MITSUBISHI EVO 10 FQ

2010-Mitsubishi-Evo-X-01-1024x682.jpg

2011-Mitsubishi-Lancer-Evo-X-Review-Interior-Picture.jpg

mitsubishi-evo-X-4-big.jpg
 
usisahau kuna timu za premier zinachapwa na timu za championship.......halafu wewe lazima una SUBARU.....
Mkuu ni uelewa wa vyombo vya moto tu na wala sio kwamba namiliki Subaru, mkitaka nishiriki mbio zenu anzisheni mbio za Toyota Harrier nitajiandikisha.
 
kitu kimoja unasahau au hujui,SUBARU IMPREZA ni nzuri kwenye bend,twist and turns[na ndio rally zinapofanyika]....sio kwenye straight line,na njia ya dodoma imenyooka utanitangulia 200m tu then nitakupita kama umesimama.....hio SUBARU yako ni 180km/hr,unajua maana yake???IT IS ELECTRONICALLY LIMITED TO 180KPH[113MPH].....mimi nina gari EUROPEAN MAKE 2500CC GT SPORT COUPE inakwenda 260KPH[160MPH] utatangulia ila nitakupita tu baada ya umbali mfupi sana......

Poa mkuu, bado kuna kitu unasahau gear shifting na driver confidence then tena unasahau pulling ya gari. kuwa na 260KPH[160MPH sio kigezo cha pulling ya gari mkuu. thats why unaona kila mwaka SUBARU IMPREZA ina beat kwa sana.

Naweza kukuwekea GT 500 SHELBY yenye CC 2000 but limited to USA SPECS 180KPH[113MPH], still utaona vumbi tuu .
 
Back
Top Bottom