Naamini umemsaidia sana mdau mwezetu hapo. Kazi ibakie kwake.Katika maisha yangu ya kijiwe nmeona guta ndo zinasanya zaidi kuliko hicho ki gari.
Nafikir sababu ni kama ifuatavyo;
1. Guta inaingia hata sehemu mbaya mfano kwenye shamba, porini ambako gari Kwa jinsi llivyo haliwezi maana guta ipo juu hichi ki gari kipo chini kinatitia.
2. Wateja wengi hawaogopi kufuata guta ili likambebe mzigo tofauti na hicho ki gari mteja akishaa kiona anaogopa Kwa kuhofia atakodi Kwa bei kubwa kikambebe mahindi yake shamba.
3. Guta inabeba mpaka kilo 1000 Tani 1 sawa na hichi ki gari lkn ulaji wa mafuta guta utapenda. Very economical.!!!
4. Matangenezo ya guta yapo chini hata madund boda wakakurekebishia lkn pia hata malipo ya Kodi serikalini guta yapo chini na hawakamati hovyo ka gari.
5. Guta utaishi nalo miaka mingi tofauti na gari. Guta likidondok watu 2 mnainua na kazi inaendelea ila hicho ki gari baba unaenda kupaki juu ya mawe ka huna pesa mingi.
Ukitaka return nunua guta ila sio kama hako ulikoonesha hapo, chukua WANHOO 250 AU 300. Pia sinoray nzuri Ina tera kubwa zaidi na inapiga tipa.
Nina uziefu kiasi flani maana nmetoka kuwa mtoto wa kijiweni sana tu.!
Ahsante sana Mkuu ila nina maswali kidogoKatika maisha yangu ya kijiwe nmeona guta ndo zinasanya zaidi kuliko hicho ki gari.
Nafikir sababu ni kama ifuatavyo;
1. Guta inaingia hata sehemu mbaya mfano kwenye shamba, porini ambako gari Kwa jinsi llivyo haliwezi maana guta ipo juu hichi ki gari kipo chini kinatitia.
2. Wateja wengi hawaogopi kufuata guta ili likambebe mzigo tofauti na hicho ki gari mteja akishaa kiona anaogopa Kwa kuhofia atakodi Kwa bei kubwa kikambebe mahindi yake shamba.
3. Guta inabeba mpaka kilo 1000 Tani 1 sawa na hichi ki gari lkn ulaji wa mafuta guta utapenda. Very economical.!!!
4. Matangenezo ya guta yapo chini hata madund boda wakakurekebishia lkn pia hata malipo ya Kodi serikalini guta yapo chini na hawakamati hovyo ka gari.
5. Guta utaishi nalo miaka mingi tofauti na gari. Guta likidondok watu 2 mnainua na kazi inaendelea ila hicho ki gari baba unaenda kupaki juu ya mawe ka huna pesa mingi.
Ukitaka return nunua guta ila sio kama hako ulikoonesha hapo, chukua WANHOO 250 AU 300. Pia sinoray nzuri Ina tera kubwa zaidi na inapiga tipa.
Nina uziefu kiasi flani maana nmetoka kuwa mtoto wa kijiweni sana tu.!
Ahsante sana Mkuu ila nina maswali kidogo
1.Kati ya hiyo WANHOO na Sinoray ipi inatakiwa iwe option no.1 kama mfuko unaruhusu
(Kama una uzoefu wa bei sio mbaya pia ukataja)
2.Kwa maisha yako ya kijiweni ulishuhudia madereva wa guta hesabu yao kwa siku ilikuwa inasoma vp kwa boss
Natanguliza shukrani
1. Dah, hapa umenipa mtihani katika uchaguzi, kazi ya kuchagua nakuachia mimi nafikir nikupe tu dondoo. Kama nilivyosema, wanhoo Ina tera dogo ila inadumu sana, hata mabati yake n chuma kizito pia injin haichoki mapema, ila tipa haipigi.Ahsante sana Mkuu ila nina maswali kidogo
1.Kati ya hiyo WANHOO na Sinoray ipi inatakiwa iwe option no.1 kama mfuko unaruhusu
(Kama una uzoefu wa bei sio mbaya pia ukataja)
2.Kwa maisha yako ya kijiweni ulishuhudia madereva wa guta hesabu yao kwa siku ilikuwa inasoma vp kwa boss
Natanguliza shukrani
Ahsante sana Mkuu1. Dah, hapa umenipa mtihani katika uchaguzi, kazi ya kuchagua nakuachia mimi nafikir nikupe tu dondoo. Kama nilivyosema, wanhoo Ina tera dogo ila inadumu sana, hata mabati yake n chuma kizito pia injin haichoki mapema, ila tipa haipigi.
Sinoray Ina bodi kubwa, ni delicate ila inapiga tipa.
Ipi ununue, angalia mazingira unapotaka kuiweka, hilo eneo kukiwa na sinoray nyingi usichukue wanhoo maana wateja wataona wanapunjwa wataenda sinoray wewe utakua unapiga doro tu, lkn kama hakuna guta au wanhoo zipo chukua wanhoo.
Mfano; Iringa utakutana na wanhoo 98% hata ukitaka kuliuza utapata mteja haraka.
Njombe mjini utakutana na sinoray, wabena wanazikubari hatari na Ile kupiga tipa wanaenjoy wakipeleka samaki shamban wanaenjoy linapopiga tipa sio kupiga chepe tena.!!!
Bei, 2020 wanhoo ilikua mil 6.5 sijajua Kwa Sasa na sinoray sifahamu
2. Rejesho ilikua 20 Kwa siku. Dereva alikua haikosi na hawakua na stori nyingi Kwa boss wake kama sisi dereva boda.!!
Nilikua nashuhudia baadhi ya siku jamaa wanapiga mpaka laki 2 per day
hahaha mkuu kagari unakachukukia kutoka moyoniKatika maisha yangu ya kijiwe nmeona guta ndo zinasanya zaidi kuliko hicho ki gari.
Nafikir sababu ni kama ifuatavyo;
1. Guta inaingia hata sehemu mbaya mfano kwenye shamba, porini ambako gari Kwa jinsi llivyo haliwezi maana guta ipo juu hichi ki gari kipo chini kinatitia.
2. Wateja wengi hawaogopi kufuata guta ili likambebe mzigo tofauti na hicho ki gari mteja akishaa kiona anaogopa Kwa kuhofia atakodi Kwa bei kubwa kikambebe mahindi yake shamba.
3. Guta inabeba mpaka kilo 1000 Tani 1 sawa na hichi ki gari lkn ulaji wa mafuta guta utapenda. Very economical.!!!
4. Matangenezo ya guta yapo chini hata mafund boda wakakurekebishia lkn pia hata malipo ya Kodi serikalini guta yapo chini na hawakamati hovyo ka gari.
5. Guta utaishi nalo miaka mingi tofauti na gari. Guta likidondok watu 2 mnainua na kazi inaendelea ila hicho ki gari baba unaenda kupaki juu ya mawe ka huna pesa mingi.
Ukitaka return nunua guta ila sio kama hako ulikoonesha hapo, chukua WANHOO 250 AU 300. Pia sinoray nzuri Ina tera kubwa zaidi na inapiga tipa.
Nina uziefu kiasi flani maana nmetoka kuwa mtoto wa kijiweni sana tu.!
Mkuu toa maoni yako, unatofautisha vp kiubora kati ya hiyo Toyo, Sinoray na Wanhoo?Kwa maoni yangu chukua GUTA ya KIHINDI TOYO mwaka jana nilichukua moja cc250.
Mungu ni mwema mambo yameenda vzr kiasi nimeongeza moja juzi cc200.
Pia kwenye service akuna galama kubwa kwa GUTA ya KIHINDI TOYO.
Chuma nasubilia this week TRA wamalixie usajili wao kitu kiingie kwa njia.