Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Inakuwaje Wakuu!
Kati ya hivyo viwili hapo juu ni ipi chombo ya kazi na ukiipeleka pesa yako ni uwekezaji mzuri
Kwa maana kulingana na soko letu na hali ya maisha kibongobongo ni ipi itayokuwa na soko kubwa kikazi lakini pia kiustahimilivu, ipi ambayo inaweza dumu kwa muda mrefu endapo matunzo yakazingatiwa pia
(Life expectancy yake inaweza fika miaka mingapi?)
Endapo kama utampa dereva kwa kawaida hesabu inakuwaje kwa siku?
kati ya SUZUKI CARRY na GUTA
Kama kawaida wanaJamiiForums tuendelee kupeana maarifa kwa wenye experience na hili